Fall Army Worm
JF-Expert Member
- Jan 8, 2015
- 19,371
- 14,516
kibondeeeeeee!!! binadam pekee mwenye meno 57!!
Kwir!kwir!kwir!kwir!kwirr!,Jamani acheni kuvunja mbavu za watu,ulishayahesabu?Duh! watu bhana.
kibondeeeeeee!!! binadam pekee mwenye meno 57!!
Haihusiki lakini inahusishwa!!!
Tumeshajionea wana Team lowassa wakiwa na frustration katika kipindi cha masaa 48 yaliyopita lakini hakuna aliyekiri kukwama.
Tumeshihudia tabia chafu ya Team lowasa kumdhihaki mwenyekiti ..eti EL alimsaidia JK kuingia madarakani na kwamba bila yeye JK angeshindwa!
Yaani EL aliamua na amedhamiria kumblackmail mwenyekiti wa ccm na rais wa JMT.
wafuasi wa EL wameonesha jeuri ya fedha na ubabe dhidi ya mwenyekiti wa ccm na rais wa JMT.
PENGINE EL hausiki bali tatizo ni team aliyoichagua kuitumia #Teamkibonde
Hili ni kosa kubwa lilofanywa na Team El ambalo watalijutia.
El amejitahidi kulirekebisha bila mafanikio na sasa tunaona revelation za wafuasi wake.
Teamlowassa wametumia fedha,hadaa na ubabe iki tu kujionesha kuwa wao ni zaidi ya chama na system na wananchi...huu ni upuuzi !
Kwa taarifa yenu ninyi Teammapesa ni wachache na sisi ni wengi.
Na mkimzidi mwenyekiti wako watu wa kumlinda kwa njia yoyote ile.
EL alikuwa mtulivu kama yeye lakini wapambe wake wamejikweza na malipo wanayoyapata ndio haya sasa....to BOW DOWN WHEN IT IS TOO LATE
RAIS mwinyi alijituliza akapewa nchi lakini ninyi Team mapesa mnajidai wajuaji sasa msubirini #ngariba awaketete.
Cc kingunge
Journalists wa dunia ya tatu nakwambia ni crummy kupitiliza. Sijui hawana exposure masikini ya Mungu? Yani sikuelewa kumuona Kibonde, journalist mwenye kipindi kisichofungamana au kisichotakiwa kufungamana na upande wowote wa siasa za uchaguzi, anaenda kusherehesha kampeni ya mgombea. Utadhani birthday party ya Lowassa. Daaah... sijawahi kuona.Eti Kibonde ndio alimkaribisha Lowassa kuhutubia