Kibonde, Jahazi, Clouds FM na maneno mbofumbofu

Kiranga, you have a point kwenye objectivity na conflict of interest.
Nimemsikiliza Kibonde alivyomzungumzia Sugu.
Kwanza tukubaliane, Kibonde ana kipaji cha utangazaji comedian. Pamoja na kipaji chake, ana matatizo makubwa mawili.
1. Huwa ana overdo hizo comedy out of proportion na Gardner ndio huwa anamsaidia sana kummodarate. Katika ku overdo hufikia kiasi una waunder estimate wasikiliza wake, hivyo kutoa vichekesho ambayo only watoto wa nursery ndio watacheka, hivyo kumfanya aonekane kama fool fulani hivi.

2. Anazidisha mizaha hata kwenye serious issues, hivyo kupunguza seriousness ya kipindi chao kubakia kama kipindi cha vunja mbavu fulani. Hii ya kutojua wapi uweke mzaha na wapi usiweke, ina uhusiano na shule na haiba ya mtu. Hii inapelekea Kibonde kuonekana kama kibonde fulani, mbona Gardner anamaintain objectivity yake?.

Kwa maoni yangu sidhani kama Ruge ndio kamtuma Kibonde afanye aliyoyafanya, nadhani intention ilikuwa kumdefend bosi wake, ila akajikuta amehamanika na kumblow Sugu out of proportion katika kujikomba kwa bosi.

Hii ya Clouds kuwa redio ya wahuni, si kweli, bali ni redio ya vijana kama ilivyo East Africa, tofauti, EA ni radio ya vijana wa Academy wanazungumza Kiingereza, na Clouds ni ya vijana wakiswazi, bahati mbaya wengi wa vijana hawa huonekana kama wahuni. Clouds inazungumza lugha yao, inawafikia na wanaisikia.

Wako washua waliyepiga shule na wanayejiheshimu wanasikiliza Clouds inategemea ni kipindi gani. Mimi japo sio msure, na wala sijapiga shule, ila najiheshimu na husikiliza Jahazi.

Mnapoteza muda, Sugu kashalia, na wajinga wjinga wengine watalia tu. Mnamwonea Kibonde. Ametumia uhuru wake wa kutoa maoni.
 
we can talk and talk and talk, but i stand to my opinion since this is a free and voluntary social network!

i categorized ephraim the way i did with my personal analyses, you did yours with your factors

regarding fake names, de novo is another fake names and read my words... i would never try to portray that de nomo is my name, i started with MTM, and did jump the ship.... i just underwent puberty

we have seen lots of metamorphosis around here from egg, larva, pupa and we are wating for adult kamili...

i have a story of a friend who was very smart
he then went to tambaza for a level and started losing his stars... does that make him not smart simply because he succumbed to social deeds? hell no!!
he went to MUCHS, messed up his life, shitting around the corridors and passed out of bus stations --- to me he is/was still smart --- just environment
now is a man with a family and i can say that his true colors and smartness are back!!!

guess what!! ameishi mwananyamala and once he even denounced his family prendenign he is upanga guy!!! to me he is still smart

why??? because we look at things differently, na mimi niku zote nachukua huo upande positive zaidi

KIBONDE IS SMART TO HIS CAPACITY AND CAN DO BETTER IF WE LEAD HIM RATHER THAN KUFANYA POSTMORTEM YA YALIYOPITA

You basically agree that intelligence can be like beauty in the sense that it can reside in the eye of the beholder, depending on what the focus is on.

You also validated the assertion that your attack on pen names, while using one yourself, was rather hypocritical.
 
Mi nadhani issue ni wao akina Kusaga kufanya ufisadi.Yaani unafanya mradi wa Malaria kwa ajili ya public then unatoza kiingilio.More worse unarusha kwenye runinga moja tu TBC.Sugu's plan s was to save the whole public lakini manyang'au wameidaka ishu na kuona ni time za kuyajaza matumbo yao kwa kumtumnia JK huku wakiwalipa wasanii laki moja moja.Siyo issue
 
Mi nadhani issue ni wao akina Kusaga kufanya ufisadi.Yaani unafanya mradi wa Malaria kwa ajili ya public then unatoza kiingilio.More worse unarusha kwenye runinga moja tu TBC.Sugu's plan s was to save the whole public lakini manyang'au wameidaka ishu na kuona ni time za kuyajaza matumbo yao kwa kumtumnia JK huku wakiwalipa wasanii laki moja moja.Siyo issue

Much as i dislike ufisadi wa akina kusaga, i am worried kuhusu sugu plan!!! alikua alipwe zaidi ya 200M na una uhakika gani kwamba alitaka a-serve the whole public?

Do you know his strategies? can we confirm that sugu would have used all TVs and radio stations around the country?

Lets share more insight on this one ndio tujue inakuaje

Hili la kiingilio sina comments lakini kama pesa waliyochukua imekwenda kwenye malaria campaigns then i am Ok
 
jamaa kibaraka tu,na chakufurahisha watanzania sio wajinga ka anavyofikiri, na sio wote wanaosikiliza li redio lao. imefika mahali sasa watanzania tunatakiwa tuwe tunasusia bidhaa za madhalimu kama wakina Kusaga na genge lake lote, wanakera saana, hawaoni aibu kuibia maskini
Kama husikilizi radio lao utajuaje wanayosema???? ili kujua pumba na mchele inabidi tusikilize kila kitu. Mbona hamsemi watangazaji wa ITV/Radio One pamoja TBC1 kwa unazi???? Juzi almanusura Shehe Yahya Hussen almanusura apigwe na Wanasimba kutokana na tangazo la TBC ambapo mwenyewe amekana kuhusika na matamshi hayo[ya ubashiri Simba-Azam] na akawaomba watoe ushahidi kama kweli alitamka hivyo.
 
untitledk.jpg


Sikutegemea kusikia maneno ya kishenzi shenzi toka kwa mtu kama huyu ambaye nilikuwa na muheshimu sana kutokana na kazi yake ambayo kwa upande wangu naikubali, ila kwa maneno yake ya leo juu ya Sugu amejishusha hazi yake na anaonekana kama kibaraka flani hivi.
Sio leo tu mkuu, kibinde huwa anaropoka matusi hata wakati mwingine kama uko kwenye gari na watoto unaona aibu.
 
Back
Top Bottom