Kibonde, Jahazi, Clouds FM na maneno mbofumbofu

HA HA HA natumia herufi kubwa kwani nadhani wengi wetu a e i o u za mambo flani hatuzijui vyema. Naam kweli inatubidi twende mbali sana ; kwani uchungu si lazima uwe wa uzazi unaweza kuwa wa moyo, makali ya kisu nakadhalika na hata kunyimwa nako ni uchungu HA HA HA kwa herufi kubwa.. tuna safari ndefu sana kama hujui kazi na maana zake na kama hujui kitu kinachoitwa changanya changamsha.. jahazi ni kipindi na wanakiendesha vile kwa kuwa kuna wasikilizaji hutaki zima... unataka burudika unaiacha on HA HA HA huwa naburudika sana na maneno ya kejeri ndani ya JF kama ninavyoburudika na ghani za kapten na serahangi wake Kibonde HA HA HA nchi huru hii kila mtu anasema anavyotaka na wale wanaojua kuweka takwimu vyema wanaweza kubisha lakini si vinginevyo HA HA HA
 
Hujaeleweka ndugu,mmhh una sound like K
 
Hilo liko wazi Clouds wanajulikana kwa mambo kama haya ya kusakama watu kutumia vipindi vyao na huyu kibonde ni wazi katumwa na boss wake tu hakuna la ziada,
 
Ngoja wapandishwe Kizimbani kwa utapeli hao akina Kibonde ndo watatia akilini.
Sa Kibonde anaanza kuongelea ishu hiyo kwenye taarabu ka vile amekuwa mtu wa mipasho?:mad:
Kesi ya pili itakayowakabili ni kumdhalilisha RAHISI WA NCHI, na kumfunguza tamasha la uwizi-mtupu!

Teh teh wanamzungusha Rahisi-Tz zaidi ya uihuavyo hapo ndo ujue kuwa kiini cha kamoeni hizi ni maslahi zaidi
 
Mtu yeyote anayediriki ku tune into Clouds FM then hana haki ya kulalamika, he/she deserves to get whatever come to him/her.

Clouds FM sio tu ni lowbrow radio station, jamaa ni tasteless na shameless.

Sasa kama wanamdhalilisha sugu awapige lawsuit tu.Ukitune in what do you really expect?

Ni kama vile umeenda kwenye duka la porn ukashangaa wanauza DVD za ngono.
 
untitledk.jpg

Sikutegemea kusikia maneno ya kishenzi shenzi toka kwa mtu kama huyu ambaye nilikuwa na muheshimu sana kutokana na kazi yake ambayo kwa upande wangu naikubali, ila kwa maneno yake ya leo juu ya Sugu amejishusha hazi yake na anaonekana kama kibaraka flani hivi.

Mimi naona mnamuonea Kibonde wa watu, kwani kafanya nini cha ajabu? Nimesikiliza kipindi chake cha jahazi leo. Anachokifanya ni kuchukua habari ileile na kuilemba kwa mbwembwe zake. Kwangu sioni tatizo kwa yeye kufanya hivyo.
 
Kutumia Chombo cha Habari kumuita Mwenzako Mwehu si Ustaarabu hata kidogo
 
Sikutegemea kusikia maneno ya kishenzi shenzi toka kwa mtu kama huyu ambaye nilikuwa na muheshimu sana kutokana na kazi yake ambayo kwa upande wangu naikubali, ila kwa maneno yake ya leo juu ya Sugu amejishusha hazi yake na anaonekana kama kibaraka flani hivi.

Hivi huyu joker Kibonde ana kitu gani cha kuheshimika saaana mpaka am dissappoint mtu?

Mtu yeyote anayejua kumsikiliza mtu kwa kina wala hawezi kushangaa. Na zaidi ya hapo utumbo ni culture ya Clouds FM.

Sijui hata kama kuna professional mmoja pale. Na hata ukisema si lazima uwe umesomea (if you dismiss that yardstick, after all hata Larry King hakusoma but he is the "King" of uncritical interviews) hata ukiweka usomi pembeni, hamna mtu anayejiheshimu na kuheshimu rekodi yake anayeweza kufanya kazi Clouds FM.

Waganga njaa na malimbukeni watupu.Pamoja na wanaowa exploit.
 
HIvi wadau wa JF mnafahamu kuwa hakuna hata mwimbo mmoja wa Sugu unaopigwa na clouds Fm?ni miaka sasa manajement ya Clouds ina matatizo na sugu.chuki na uhasama.
 
nipo nasikiliza jahazi kutoka clouds fm....

kitu sijakipenda ni namna Kibonde ametumia kipindi cha leo kusema maneno mbofumbofu dhidi ya Sugu....asili ya ugomvi ukiwa ni mradi wa zinduka...

mi ufahamu wangu ni kuwa zinduka haikuwa na ukweli wowote kutoka katika nafsi za waandaaji zaidi ya kuwa ni mradi wa kutengeneza pesa kama vile tunavyofahamu kuwa waingiaji pale walitoa kiingilio....tofauti na miradi mingine mfano ya ukimwi n.k.

naamini kuna mengi katika hili suala ambayo siyajui....naomba wajuvi wanipe info zaidi..

Jina lenyewe "Kibonde" what do yu expect frm him to do best than this?
 
HIvi wadau wa JF mnafahamu kuwa hakuna hata mwimbo mmoja wa Sugu unaopigwa na clouds Fm?ni miaka sasa manajement ya Clouds ina matatizo na sugu.chuki na uhasama.

Na wala si Sugu tu, there is a whole catalogue of artists not played by Clouds. Ukikataa kuwabong'olea ndiyo wanavyokutreat.

Jamaa ni washenzi kweli kweli.
 
Na wala si Sugu tu, there is a whole catalogue of artists not played by Clouds. Ukikataa kuwabong'olea ndiyo wanavyokutreat.

Jamaa ni washenzi kweli kweli.

haka ki kibonde ni kashenzi tuu,mie nilikaona pale London in 2000 hakana jipya.....Kuna thread nimeandika waandishi /watangazaji wengi wa kibongo wa sasa shule ni ziii na haka ni kimojawapo na EVIDENCES ninazo.Kwa hio msikatilie maanani sana ni wale wale tuuu.
 
yaani unapoteza uda wako kusikiliza redio hii?

Mkuu kuna usemi wa kiswahili......Kaeni nao muwajue tabia zao......ningejuaje kama Kibonde ni low mind kwa kiwango nilichokijua jana?
 
nipo nasikiliza jahazi kutoka clouds fm....

Kitu sijakipenda ni namna kibonde ametumia kipindi cha leo kusema maneno mbofumbofu dhidi ya sugu....asili ya ugomvi ukiwa ni mradi wa zinduka...

Mi ufahamu wangu ni kuwa zinduka haikuwa na ukweli wowote kutoka katika nafsi za waandaaji zaidi ya kuwa ni mradi wa kutengeneza pesa kama vile tunavyofahamu kuwa waingiaji pale walitoa kiingilio....tofauti na miradi mingine mfano ya ukimwi n.k.

Naamini kuna mengi katika hili suala ambayo siyajui....naomba wajuvi wanipe info zaidi..
tutake tusitake, kibonde is one of the best in his business na ile mada aliitoa kama ilivyo na kumbukeni kuna mtayarishaji wa kipindi na walioguswa ni bosi zake

for once LETS think outside the box
 
HA HA HA natumia herufi kubwa kwani nadhani wengi wetu a e i o u za mambo flani hatuzijui vyema. Naam kweli inatubidi twende mbali sana ; kwani uchungu si lazima uwe wa uzazi unaweza kuwa wa moyo, makali ya kisu nakadhalika na hata kunyimwa nako ni uchungu HA HA HA kwa herufi kubwa.. tuna safari ndefu sana kama hujui kazi na maana zake na kama hujui kitu kinachoitwa changanya changamsha.. jahazi ni kipindi na wanakiendesha vile kwa kuwa kuna wasikilizaji hutaki zima... unataka burudika unaiacha on HA HA HA huwa naburudika sana na maneno ya kejeri ndani ya JF kama ninavyoburudika na ghani za kapten na serahangi wake Kibonde HA HA HA nchi huru hii kila mtu anasema anavyotaka na wale wanaojua kuweka takwimu vyema wanaweza kubisha lakini si vinginevyo HA HA HA

Bila shaka hii ni product ya Clouds mojawapo naona upo kikazi zaidi.
 
yote haya ni hawa jamaa kujipa uhuru kupita mipaka yani wanaona wakiwaredioni wanaweza kuongea chchote na wasifanywe lolote ukiuliza utaambiwa uhuru wa vyombo vya habari
 
Kuna baadhi ya watangazaji wanatumia air time vibaya kwa kutoa matusi na kukejeli wengine pasipo ridhaa zao. Waache hiyo tabia
 
Nakubaliana na wewe kabisa huyu jamaa ubunifu ni sifuri kabisa. Mimi sipendi sana namna ambavyo hujifanya kusoma yale magazti ya alasiri. Halfu anvyoongea kama kajaza mate mdomoni. Nadhani ni aina ya mtu ambaye unaweza kumpa bia mbili halafu ukamwambia nitukanie mtu fulani basi akaenda na kuangusha matusi bila mantiki

Dah!
 
Jamani njaa ni hatari sana! kuna changudoa mmoja alihojiwa, akaulizwa kwanini unafanya uchangudoa akasema njaa imemfika, mwandishi wa habari akashangaa yaani njaa mbele ya ukimwi? changudoa akasema ndugu mwandishi wa habari njaa ikikukamata ni siku mbili tu wafa, lkn ukipata ukimwi hata miaka kumi ntaishi, so kibonde yote hiyo ni njaa inamsumbua ile redio klauds ni genge la wahuni watupu, hakuna proffesionalism pale
 
yaani unapoteza uda wako kusikiliza redio hii?

Sasa nimeamini baada ya kuisikiliza hicho kipindi cha Kibonde na mwenzake siju ndio ABASH?

Kumbe Clouds mafisadi wa ukweli. Kuanzia leo sitosikiliza wala kuingia tena mdisco yao. WIZI mtupu. Kwani SUGU kakosoea nini .Yaani yeye ni kichaa adai vitu ambavyo hana uhusiano navyo. Kama hawajamdhulumu wanapiga nini kelele ..ooh hao watu wacahace msichezee cheo cha Rais ohh ohh kama vile wako kicthen party.

Walimpeleka Presida kwenye madisco yao wakajifanya wanapambana na malaria. mwee.
 
Back
Top Bottom