- Thread starter
- #41
Wewe umepima ndugu?
Hata kama umepima huwezi kuupata?
Wewe una mkataba na mungu ndugu?
Kama huna muombe msamaha mungu..
Usipomuomba sikulazimishi pia..
elimu ya UKIMWI NA VVU BADO INAHITAJIWA,HASA KIPENGELE CHA UNYANYAPAA
Wewe umepima ndugu?
Hata kama umepima huwezi kuupata?
Wewe una mkataba na mungu ndugu?
Kama huna muombe msamaha mungu..
Usipomuomba sikulazimishi pia..
bwana weee,,,,humu ndani kuna koment za kukufuru,,,,,maana mtengeneza meno ni ALLAH,,,,mwanae anaweza patiwa
sijasikia mdau,labda watatangaza kwenye jahaz lao
CCM wanapaswa wayatoe (delete) maneno haya kwenye ahadi ya mwanachama; kutoka katika katiba/mwongozo ya chama chao.
"Rushwa ni adui wa haki, sitatoa wala kupokea rushwa"
Wanaweza wakapuuza, ila hii inaweza kuwa ni Kampeni ya Mafisadi Kujisafisha....
Na asipojitokeza Mwanasiasa yeyote (Nasisitiza, kutoka chama chochote) kuwa-prove wrong hawa watu, tayari watakuwa wamejichukulia Point tatu za bure...
Im watching.................
Its so unfair of some people doing personal attacks. Maumbile ya mtu ni Mungu pekee aliyetujalia. Seriously unaweza kumcheka mama yako kwa kuwa mfupi au ana meno staili usiyoipenda. COME on hii sio JF ya personal attacks kama magazeti ya udaki. Hili ni Jukwaa la hoja. Na kama anaumwa , what has that got to do with the HOJA aliyetoa Bajabiri.
Binafsi simchukii Kibonde kwa ugonjwa (if at all its proven he has) au kwa sura , namchukia kwa tabia yake ya kujigonga kwa CCM hata pasipotakiwa kujigonga-kwa kupindisha ukweli hajambo. Pia kama atapata wasaa wa kusome hii thread akumbuke katika maisha "what goes around comes around" na maneno yake hayp hayo ndiyo yatakayomtafuna.
Kipindi cha Jahazi kimekosa ladha na mwelekeo kabisa. Bora hata waweke miziki ila kutoa salam kwa whoever they think should be mentioned, na kuongea story hata kama jana alipoteza malapa yake mtaani kwao, unless wanalenga a hadhira nyingine.
Ndugu yangu Kayanda Arnold, kama unapenda career yako sio hapo kwenye Jahazi na Kibonde. Tafuta jinsi ya kutoka.
mdau hili la kukohoa sijui kama linaruhusiwa kwenye redio,maana wengi wafanyavyo hivi huishia kuomba samahani,jamaa yeye anachapa mwendo tuKwani anaajira gani pale? hawezi kuajiriwa mfano bbc afu akawa anakohoa hewani vile.
sina muda wa kujadili mtu mwenye Ukimwi anayezidi kuuwa watoto wa watu
Jiulize kwanini aliumia sana walipogundua imeingia ARV feki?
sina muda wa kujadili mtu mwenye Ukimwi anayezidi kuuwa watoto wa watu
Jiulize kwanini aliumia sana walipogundua imeingia ARV feki?
sina muda wa kujadili mtu mwenye Ukimwi anayezidi kuuwa watoto wa watu
Jiulize kwanini aliumia sana walipogundua imeingia ARV feki?
..Dah! umenikumbusha mbali sana nilishawahi kukumbana na watu wenye majina mpaka nikawa najiuliza hivi wazazi walikuwa na dhamira gani kutoa hayo majina kwa watoto wao?Wazazi angalieni majina ya kuwapa watoto wenu
Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
Hajaweka rehani kibarua chake kwani huo ndiyo ukweli halisi. vyama vyote vinamatatizo ya rushwa na ubadhirifu. kunawengine wanashindwa hata ku-account for maduhuli wanayoyapata kila mwezi toka serikalini. Kwengine ukiuliza matumizi ya pesa za misaada toka kwa wafadhili ujue utajengewa zengwe na kufukuzwa. Tatizo kubwa ni kuthibitisha kisheria na hilo linaweza fanywa na mahakama tuu. na jamaa hawa hata kama utakuwa mwendawazimu kwa kuwapeleka huko basi wanauwezo wa kuajiri wakili mahiri ambao hata mtuhumiwa awe mweusi kiasi gani wao wanauwezo wa kumpaka rangi nyeupe sana kama malaikaNipo kwenye daladala hapa natokea kutafuta mkate,redion namsikia kibonde na wenzie wanajadili kauli za akina mukana na Sumaye juu ya mustakabali wa RUSHWA,sasa kibonde amesema rushwa ipo kila chama, na amejigamba kuwa KAMA KUNA MWANASIASA AMBAYE ANAAMINI CHAMA CHAKE HAKIJIHUSIHSI NA RUSHWA AJITOKEZE HATA SASA HIVI YEYE ATAACHA KAZI.............
Ila naamini kuwa huenda kabla kipindi hakijaisha anaweza akaibuka mwanasiasa kuthibitisha kuwa chama chake hakijihusishi na RUSHWA na hatimaye ajira ya kibonde itaota MBAWA
Duh!teh teh teh!!!!!!!!!!!!!Sasa mwenzio si ameshatangulia kusema yupo kwenye daladala?? Inawezekana ameandika akiwa kasimamia mguu mmoja. Daladala za mbagala kitu ingine wewe!!
Kama kweli ni hivyo kwa nini kipindi hiki kinapendwa sana??? mimi ni mpandaji mzuri wa daladala na katika kipindi hiki mara nyingi utaona daladala wametega radio kwenye kipindi hiki na kuna wakati wengine hubadilisha kwa muziki hapo aidha utasikia miguno au watamuomba arejeshe. Kwa nini????????Kipindi chao jahazi kinasubsession wanaiita mastori ya town,huwa ni kuzungumza whatsover comes in your mind,hamna la ajabu apo zaidi ya porojo zao za kila siku.