Kibonde aiweka REHANI AJIARA YAKE

sina muda wa kujadili mtu mwenye Ukimwi anayezidi kuuwa watoto wa watu

Jiulize kwanini aliumia sana walipogundua imeingia ARV feki?

Wewe umepima ndugu?
Hata kama umepima huwezi kuupata?
Wewe una mkataba na mungu ndugu?
Kama huna muombe msamaha mungu..
Usipomuomba sikulazimishi pia..
 
sasa ajira yke kaweka rehan kiaje...

kwa TZ rushwa iposana sio kwenye vyama vya SIASA tu hata kwenye AJIRA..POLICE..HOSPITAL nk..kuna Rushwa za PESA..KABILA..NGONO..mpaka Muheshimiwa Fulani akaita TAKRIMA..yy wakatiule akuona kama ni RUSHWA mpaka yalipo mkutandio anakubali ni RUSHWA Kibonde yupo sahii ila JINA LAKE LINAMTESA ...NA MDOMO WAKE .UNA MDHUKLU KITABIA ...MASFA.COM....
 
Anatafuta shavu kutoka kwa magamba, jamaa hana busara hata kidogo anaropokaga tu....
 
Mpaka Dakika hii hakuna Mwanasiasa yeyote aliyejitokeza kupinga?
 
Kama wewe ni mwanasiasa na kwenye chama chenu hakuna rushwa,haina haja ya kubishana humu,we nenda kwa kibonde umthibitishie ili aache hiyo kazi
 
Sasa mwenzio si ameshatangulia kusema yupo kwenye daladala?? Inawezekana ameandika akiwa kasimamia mguu mmoja. Daladala za mbagala kitu ingine wewe!!
Jamani haya majibu ya tit for tat afu ya ukweli huwa mnajiandaa kabisa nini.Nimecheka sana
 
Kwa nini hili jambo usingeshare na marafiki zako kule facebook? do you really think JF ni sehemu ya kujadili mahayawani?

kwenye green,mdau umegongewa hodi uje uchangie,
kwenye blue,,,,nawaachia wengine wachangie
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom