Kibomu cha leo!

Kibomu cha leo!

KARIA

JF-Expert Member
Joined
Jan 15, 2011
Posts
717
Reaction score
473
Chizi mmoja alikuwa anakatiza mtaani, jamaa kumwona akamuuliza wewe siulikuwa milembe? Chizi akamjibu "Ndio nipo milembe day siyo bording"
 
KARIA mzima wewe?? mi mith u kha!
 
Last edited by a moderator:
kweli kwenye kuandika hakunaga mdomo zege.

Mashaallah sijambo mno sijui weye uliye mbali mno na mboni za macho yangu! Nijaalie yako hali ili mtima wangu upate tulia?
 
na ndo kisifa cha kuwa chizi.

Chizi mmoja alikuwa anakatiza mtaani, jamaa kumwona akamuuliza wewe siulikuwa milembe? Chizi akamjibu "Ndio nipo milembe day siyo bording"
 
Back
Top Bottom