Kiboko ya supu ya pweza

Kiboko ya supu ya pweza

Wa mikoani tunaipateje?

Bado tunaangalia namna ya kuwafikia watu waliopo nje ya Dar Es salaam. Kwa sasa tuna deal na wateja wa Dar Es salaam pekee. Biashara ikipanuka tutaangalia namna ya kuwafikia wateja waliopo nje ya Dar Es salaam.l
 
Hivi nitajuaje kama kweli ni mti kutoka kongo na sio magome ya mwembe yaliyoongezwa na viagra kidogo ili nione matokeo ya haraka huku nazidi kuua nguvu zangu. Jamani badala ya kukimbilia hizi dawa hebu tuanze kufuatilia ulaji wetu kwanza. Chakula ndio nguzo kuu ya nguvu zetu iwe za kiume au za kubebea zege ni chakula tu.
 
umeongea ukweli mtupu. hayo mambo mengine kujitafutia shida tu
 
Naombeni ya kuongeza ufanisi wa akili jamani...yani nipige kazi, nisome, nilee familia nilale saa nane niamke saa kumi foronly two years from now...
 
Jiajiri. Maana nakuongezea swali, umefanya nini cha maana ndani ya miaka miwili na mwisho kabisa, wewe na madenti wa dar nini tofauti yenu - katika suala zima la kutopata muda wa kurelax
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom