Mlamba asali
JF-Expert Member
- Dec 11, 2022
- 1,152
- 2,293
Ukishakua tegemezi lazima utaingiliwa tu, ni kama tu wanawake na wanaume tegemezi wanavyoingiliwa kinyume naMaisha ya Mwafrica yanasikitisha sana, sitetei ujinga wa Viongozi wetu lakini pia sikubaliana na upumbavu wa Taifa kuingiliwa na kuamuliwa mambo yake na watu wengine.
Tujifunze kujitegemea na hata haki zetu tuzidai wenyewe na sio kuingiliwa na wengine