Nyie endeleeni siye tupo KuBomoabomoa.... hata tukizinduka tutarudi kulaumiana na kukashifiana !!!!Teh teh teh!!!
Nyie endeleeni siye tupo KuBomoabomoa.... hata tukizinduka tutarudi kulaumiana na kukashifiana !!!!
Huo ni Umajinuni wa kutupwa !! ati sheria.... ?? Asante kutufunzaNilishangaa sana eti mshaiwekea alama ya X hoteli ya Double Tree. Ifike mahali msitishe huo uwenda wazimu jameni, mtathmini kwanza na kutafakari kabla kuendeleza huo ubomoaji.