BADILI TABIA
JF-Expert Member
- Jun 13, 2011
- 32,766
- 23,230
Kugundua au kamuona??
Kugundua au kamuona??
Wamegundua kivipi??View attachment 314365
Gazeti la Uingereza Daily Mali limesema, mtalii kutoka Ufaransa Bibi Laurent na mume wake Dominique Renaud wamegundua kiboko wa rangi ya waridi kwenye mbuga ya wanyamapori ya Masai Mara nchini Kenya.
Utafiti unaonesha kuwa ngozi ya waridi ya kiboko huyo inatokana na kuwa albino.
Wanaojiita kua wagunduzi/wavumbuzi wa Mlima Kilimanjaro hawasemi kua wamegundua kwa mantiki ya urefu wake, bali wamegundua kwa mantiki ya uwepo (existence) yake, hapo ndipo tunapodanganyana!!Unaweza kuona ila usijue ni nini hasa. Labda wenyeji waliona ila hawakujua ana albinism kama walivyoona Mt Kilimanjaro ila hawakujua ni tallest mountain Africa
Kwa hiki kipindi cha uchaguzi kilichopita huyu Kiboko angekua ni dili sana, na kwa sasa angekua ashasahaulika kitambo tu bali imebaki hadithi tuSema huyo kiboko ana bahati wakenya wana elimu, ingekuwa hapa bongo hiyo ilikuwa bonge la dili na sidhani kama angeendelea kuishi kwa zaidi ya siku mbili
Unaweza kuona ila usijue ni nini hasa. Labda wenyeji waliona ila hawakujua ana albinism kama walivyoona Mt Kilimanjaro ila hawakujua ni 😀tallest mountain Africa
Waje basi kunigundua na mimi si hawajawahi kuniona...,,,??
Rufiji wamejama kibaoView attachment 314365
Gazeti la Uingereza Daily Mali limesema, mtalii kutoka Ufaransa Bibi Laurent na mume wake Dominique Renaud wamegundua kiboko wa rangi ya waridi kwenye mbuga ya wanyamapori ya Masai Mara nchini Kenya.
Utafiti unaonesha kuwa ngozi ya waridi ya kiboko huyo inatokana na kuwa albino.
Kwani nyie waafrika mlishindwa vipi kumgundua huyo kiboko na kumtangaza?! Tunajifanya tuna uchungu wakati hata kutembelea mbuga au hifadhi zetu ni msamiati. Acheni unafiki!
Ndio jambo la kushangaza hilo halafu wanakwambia nature behave the way it does.Waligundua binadamu alikuwa sokwe akapitia mabadiliko hadi kuwa binadam kamili sasa masokwe yapo tele maporini hko cjui yatabdilika lini... na cjui wenyew wametokea sayar gan manak masokwe waliopo ni wa kiafrika tu..
Yes, uko sawa! Tatizo letu linaanzia hapo kwenye "kutojali."Sasa huku Afrika ukigundua ukatangaza utapata nini? Nani atajali huo ugunduzi wako? Wakati huyo mzungu utasikia amepata doctorate ya heshima na kashakuwa maarufu.