Kibiti Raha Sanaaa

Kibiti Raha Sanaaa

Best time to buy is when there is blood in the street.
hapo kama una hela na akili unatajirika faster matajiri wengi wametoka hivi kwa kutumia fursa kama hiz. Mfano was Marekani fest and sekend weld war. Walionunua nyumba na estates wakati wa global economic crisis huko Spain na Greece sasa hivi wanafurahi matunda
 
Kuna muwekezaji anatafuta shamba kubwa kwa ajili ya kufuga Nguruwe na kujenga Kiwanda cha kutengeneza Soseji hapo hapo katika eneo la shamba. Inawezekana mkuu!?
 
hapo kama una hela na akili unatajirika faster matajiri wengi wametoka hivi kwa kutumia fursa kama hiz. Mfano was Marekani fest and sekend weld war. Walionunua nyumba na estates wakati wa global economic crisis huko Spain na Greece sasa hivi wanafurahi matunda
Wewe mbona baba yako hakununua kibanda huko kwenu wakati wa Vita ya Kagera!?
 
Back in days nilisoma upili ya juu KIBITI miaka imepita ni sehemu iliokua nzuri nashangaa Sana Kama kwasasa limegeuka pango la hooligans.
Nilifika Utete...chemichemi ya maji moto, pazuri asikwambie mtu...ukaone menyewe...Nimefika na Nyaminywili....unapishana na mamba kwenye mto ukiwa na mtumbwi wa gogo...wachaa!
 
bila usalama bila amani hata kama hela niyakuchota kama maji ya bahari ujue kuwa wewe ni mkimbizi ndani ya nchi yako
 
Nilifika Utete...chemichemi ya maji moto, pazuri asikwambie mtu...ukaone menyewe...Nimefika na Nyaminywili....unapishana na mamba kwenye mto ukiwa na mtumbwi wa gogo...wachaa!

Bwana wee sasa hivi yote haya hayawezi kuonekana au kuskika tenaa, watu wanawaza ubaya ubaya tu.
 
hapo kama una hela na akili unatajirika faster matajiri wengi wametoka hivi kwa kutumia fursa kama hiz. Mfano was Marekani fest and sekend weld war. Walionunua nyumba na estates wakati wa global economic crisis huko Spain na Greece sasa hivi wanafurahi matunda

Yeah sure mkuu, maana uko mbeleni hali itatulia na kadri mji wa dar unavyopanuka kwa speed ya kutisha sanaa hayo maeneo watu watakuja kuyalilia hawataamini.
 
Sasa viwanja vimeshuka bei ya kutupwa yaani ukiwa na laki tano tu unapata bonge la kiwanja na tena unaweza kujipimia mwenyewe uanzie wapi mpaka wapi kwa laki tano.

Maji yanapatikana vizuri tu yaani 24/7, vile vile kuna mashule ya kufa mtu yaan mengi sanaa ni wewe na ada za wanao tu.

Umeme haukatiki sanaa, na ikifika usiku watu wametulia ndani freshi kabisaa yaani unaanika nguo vizuri af kesho yake unazikuta tu zimelala nje safi.

Asikwambie mtu kitu kibiti raha sanaa waungwana.
Asituambie mtu? Wakati wewe tayari umeshatuambia
 
Yeah, true mkuu, haya ya kibiti yanadhalilisha jeshi letu na kuonesha ni jinsi gani lina uwezo mdogo sana ktk masuala ya intelijensia, sasa unaweza kuona tu kibiti iko karibu sanaa na makao makuu ya majeshi karibu yote, ila intelijensia gani sasa imetumika? jiulize tungekua na bifu na Al Shaabab je?
Umejuaje kwamba hatuna bifu nao na kipi kinachokupelekea usizanie kuwa hao wafanyayo yanayofanyika sio wao?
 
waswahili wanakwambia leo et

Mwezi umeonekana kibiti kama unabisha nenda
 
Japo si vyema kubeza hasa katika kipindi hiki kigumu, ila kuna ka udhaifu flani ndani ya Jeshi letu tukufu la police.

Kwa ulayman wangu wa mambo ya kiintelijensia, nafikiria mbinu ambazo zinaweza kutumika. Haya maharamia hayaishi porini. Yapo mulemule yamejimix na watu. Fanya ambush. Funga barabara za kuingia na kutoka kwa masaa kadhaa. Anza msako wa nyumba kwa nyumba. Rusha aircraft juu iangaze kiurahisi. Tanguliza mashushushu wafanye some kind of ground work. Etc. Etc.

Haya mengine sijui ya kutaka kumtuma CDF akaongee na wazee ni mbwembwe tu na kutafuta huruma kwa wasiohusika.
Atumwe Willy Gamba yule mpelelezi wa KIKOSI CHA KISASI
 
hahahahaah yule wa mastori ya kusadikika huko magazetini?
Ndio imani za Watanzania zilivyo na akili za kushikiliwa mkuu sasa kama wameshindwa kushughulikia wahalifu kule kibiti si bora tumlete mpelelezi wa kwenye vitabu
 
Back
Top Bottom