Bora kama wapenda wageni yakhe... Muulize Bagah tumsubiri stand kesho?Wageni nawapenda sana ila dogo hakunielewa....ila namkaribisha sana huku kwa wajanja......
Ila ajiandae kula ile kitu inayolinda nyumba maana huku ndo kwenyewe
Umeonae? Wakati aliahidi akifika MS atatia timu na huku, namshangaa kageuka!Mwambie aache maajabu....
Kwanza nitamshangaa sana km hatapita huku maana atakuwa hajafaidi safari yake....
Dogo Kibela unataka tukukaribishaje?erick haeleweki mara aniambie nikifika sijui wap nimwambie...kiufupi nyie watu mnaishi mkoa gani??
mbuzi wameisha mama...siku hizi mwendo wa mbwa mchemsho na mishkaki yake...utafraiii!..kesho narudi TANZANI-DAR
Hivi yuko Moshi eeeh?Umeonae? Wakati aliahidi akifika MS atatia timu na huku, namshangaa kageuka!
Aje tu...sijui hata anawahi nini Dar..Bora kama wapenda wageni yakhe... Muulize Bagah tumsubiri stand kesho?
nime-fall inlove na hili tangazo all of the sudden!..
NB: SAUTI YAKE NI KAMA YA MWANA JF MMOJA HAPA...GUESS!
Hahahaha! Afu huo ugonjwa mara zote unaanzia dar lol. Bagah kuja ar upumzike ugonjwa upite kwanza,..Aje tu...sijui hata anawahi nini Dar..
kwanza nasikia ule ugonjwa wa macho umerudi tena lol
Lazma wahamie Ar
Yuko Moshi ati, jamaa kwa safari anamkaribia rais wa nchi, sijui na yeye anaenda kutuombea net..Hivi yuko Moshi eeeh?
Dah
Mwambie tumeshaandika mabango kwaajili yake sasa ole wake asije, atatulipa maker pen zetu tulizotumia lol.Dogo Kibela unataka tukukaribishaje?
Tulikuambia SweetLady yuko Shinyanga kwa wakati ule umtafute ukaotezea sasa kaja Ar km unataka njoo utupe hi
Hahahaaaaa nipe maneno machache ya kwenye bango letuMwambie tumeshaandika mabango kwaajili yake sasa ole wake asije, atatulipa maker pen zetu tulizotumia lol.
Tobaaaa swahiba!Ni swtlady yule (unashangaa nini?)
Hahahahahaha! Hapo sasa tutakuuliza watutakani?...usione umetuletea net zenye sumu tukanyamaza ukadhani tumefurahi sana...net zimetosha...this time nawataftia N.G.U.O za ndani(walizovaa wazungu zina na majina..teheee) nije niwagawie...msaada kila kona...LOL
Nimeyachoma moto, si umesikia mgeni kagoma? Eti anarudi zake tanzania...Hahahaaaaa nipe maneno machache ya kwenye bango letu
Hahahahahaha! Hapo sasa tutakuuliza watutakani?...usione umetuletea net zenye sumu tukanyamaza ukadhani tumefurahi sana...