Aisee Elim ya Banking kwa mleta post inakupa shida saaana.
Kwani mtu anapoweka pesa kwenye Fixed Deposit Account inatofauti gani na upatu kwenye ku save
Tofauti ni moja tu kwamba ile Bank huku ni Watu.
Wanaume wa Dar mnashida saana,yaani inafikia wanawake wanaakili kuliko wanaume?au mpaka Upate uandikwe kwa Kiingereza ndio uone faida yake?
Kuna Kinamama wanamajumba kwa Upatu.
Mungu anisamehe,ila kama una Age above 25 yrs na upeo wako ni huo,basi utakuwa unaishi kwa kubahatisha maisha.
Kwa mtu anayejua kuwekeza na kuzalisha pesa hawezi fanya hii kazi , kwa nini ushindwe kujiamini mwenyewe na kwa nn uzike pesaMnachukua hela zenu mnapeana kwa zamu mi siamini kabisa katika uwekezaji au biashara ya namna hii wa hela wanaofanya watu wengi haswa wanawake (kibati) naona kama kujidanganya vilee.
Kwanini usikae na hiyo hela mwenyewe labda kama ni miezi 3 ukawa umeizalisha zaidi? Ukanunua hiki ukauza hata ukikopesha inalipa kuliko kibati.
Acheni kujidanganya hakuna faida kwenye kibati.
Ni ajabu sana tena mtu anatete na kusema asiyeelewa na kuukubali mfumo wa kibati ni mwanaume wa dar,Kwa mtu anayejua kuwekeza na kuzalisha pesa hawezi fanya hii kazi , kwa nini ushindwe kujiamini mwenyewe na kwa nn uzike pesa
Hapa naona mnalumbana tu kwa hoja ambazo ni tofauti lengo la UPATU ni kuweka na kujilimbikizia pesa wakati wewe hapa unazungumzia biashara. Hayo ni malengo mawili tofauti;Mkuu Mimi sibaatishi maisha any way hapa siyo pa kushindana tuwaachie akina myweither na diamond
My concept ni
Una 200000
Kwa miezi 3 ni 600000
Kariakoo kuna vitu kibaoo vya 150000 ambavyo unaweza kopesha kwa 250000 kadri ya mahitaji ya wafanyakazi wenzio ndugu jamaa na marafiki hata wa mkoani kwamba mtalipana mwisho wa mwezi
Kwa miezi 3
Utakuwa na zaidi ya ml 1.
Saving saving saving wee endelea kung'ang'ania upata , huo hufanya na watu wasiopenda kujituma
Watu wavivu
Watu waoga
Watu wasiopenda kujaribu.
Watu wanaotumia 1% kuwaza
Kama unamwamini MTU unampa pesa kwanini usimtafute MTU, watu ukawamini ukawapa vitu kwa faida?
Very sorry
Ujinga ni pamoja na kuamini unachokijua tu!NI NJIA MOJAWAPO YA KUHIFADHI HELA ZAKO HASA UKIWA NA MALENGO KUWA NIKIPOKEA HELA HII NITAFANYA JAMBO FULANI NA NDIO LENGO LA MICHEZO HII YA KINAMAMA NA KINA BABA baadhi, WENGINE WANAJENGA KWA STYLE HII MIE MDOGOWANGU WA KIUME ALIKUWA ANACHEZA MCHEZO WA LAKI 3 KWA WIKI NA AMEJENGA NYUMBA KWA MAANA! ZILE HELA ALIKUWA AKIPOKEA NI ZA KWENYE UJENZI TU NA SASA YUPO NDANI YA NYUMBA YAKE...
HAKUNA TATIZO LOLOTE KWENYE MICHEZO HII UNLESS MMOJA WENU ASEPE NA MKWANJA...
Wwee pia ni mjinga kwasababu unaamini hiki ulichoandika unajuaje kama hii pesa mtu anamegua kwenye faida ya kile anachozungusha kwenye biashara yake?!?lengo lake likiwa ni kufanya jambo lake!...pia Si kila mtu anauwezo aa kuzalisha wengine ni wamama tu wa nymbani......Ujinga ni pamoja na kuamini unachokijua.
Hoja iko hivi:
Mleta mada:
Kibati haina faida.
Wana Kibati:
Kibati inafaida, maana nanihii alijenga nyumba kutokana na kibati
Wana mada:
Hela alizojengea ni za kwake zilizokaa kwa mtu mda mredu bila kuzaa faida,
Wana kibati:
Inawezekana mnapinga kwa sababu mko chini ya umri wa kujua mambo.
Wana mada:
Hakuna umri wa kujua mambo ukampa mtu hela akuhifadhie miezi mitatu bila faida wakati ungezifanyia biashara zingekuwa za kwako na ungekuwa na faida iliyoongezeka.
Hapo mwenye point ni nani?
Kila mtu anaweza kuzakisha mkuuWwee pia ni mjinga kwasababu unaamini hiki ulichoandika unajuaje kama hii pesa mtu anamegua kwenye faida ya kile anachozungusha kwenye biashara yake?!?lengo lake likiwa ni kufanya jambo lake!...pia Si kila mtu anauwezo aa kuzalisha wengine ni wamama tu wa nymbani......
itakuwa labda wewe mkuu. Funguka tu kwa manufaa ya wanajamviKuna mtu namfahamu alianzisha biashara kwa huu mchezo wa 'kupeana'.
Na sasa ni biashara kubwa sana.
INategemea...Kila mtu anaweza kuzakisha mkuu
Nakuhakikishia kila mtu anaweza na kwa Tanzania kuna fursa nyinngi mno
Uchocheziitakuwa labda wewe mkuu. Funguka tu kwa manufaa ya wanajamvi
Najua, ili uingie jamii forum hakuna shart la utimamu wa akili kwa hiyo, siwezi kukulaumu maana siyo kosa lako.Wwee pia ni mjinga kwasababu unaamini hiki ulichoandika unajuaje kama hii pesa mtu anamegua kwenye faida ya kile anachozungusha kwenye biashara yake?!?lengo lake likiwa ni kufanya jambo lake!...pia Si kila mtu anauwezo aa kuzalisha wengine ni wamama tu wa nymbani......
itakuwa labda wewe mkuu. Funguka tu kwa manufaa ya wanajamvi
Mi bado sijaelewa tatizo lako ni lipi!! Hivi kama watu mpo 10, na kila mwezi mtu anatoa laki 2 huoni kama utapata 2m isiyo na riba na utarudisha kidogo kidogo? Mimi hapa nilipo nasubiri 1.5m mwezi huu mwishoni na sasa nshatoa laki 5..ila nikipata hiyo pesa yote naongeza mzigo kwenye biashara...hela ya hicho kibati yote inatoka kwenye biashara!!Mkuu Mimi sibaatishi maisha any way hapa siyo pa kushindana tuwaachie akina myweither na diamond
My concept ni
Una 200000
Kwa miezi 3 ni 600000
Kariakoo kuna vitu kibaoo vya 150000 ambavyo unaweza kopesha kwa 250000 kadri ya mahitaji ya wafanyakazi wenzio ndugu jamaa na marafiki hata wa mkoani kwamba mtalipana mwisho wa mwezi
Kwa miezi 3
Utakuwa na zaidi ya ml 1.
Saving saving saving wee endelea kung'ang'ania upata , huo hufanya na watu wasiopenda kujituma
Watu wavivu
Watu waoga
Watu wasiopenda kujaribu.
Watu wanaotumia 1% kuwaza
Kama unamwamini MTU unampa pesa kwanini usimtafute MTU, watu ukawamini ukawapa vitu kwa faida?
Very sorry