Hiyo tsh.2000 uikusanye mpaka ifike tsh.150000 na shida hii unaweza kweli ,sidhani .Mnachukua hela zenu mnapeana kwa zamu mi siamini kabisa katika uwekezaji au biashara ya namna hii wa hela wanaofanya watu wengi haswa wanawake (kibati) naona kama kujidanganya vilee.
Kwanini usikae na hiyo hela mwenyewe labda kama ni miezi 3 ukawa umeizalisha zaidi? Ukanunua hiki ukauza hata ukikopesha inalipa kuliko kibati.
Acheni kujidanganya hakuna faida kwenye kibati.
Hiyo tsh.2000 uikusanye mpaka ifike tsh.150000 na shida hii unaweza kweli ,sidhani .
Ila kwa mtindo wa kumchangia mmoja mmoja,inakusanyika vema tu.
Mawazo tu.
Kibati na kikoba ni tofaut[emoji4] [emoji4]Mbona mimi naona kina faida kibao tu,chukulia mfano una shida ya haraka ya milion moja inakiwa rahisi sana kukopa vikoba kuliko kwa jirani.
Kuna tofauti.Kibati na kikoba ni tofaut[emoji4] [emoji4]
Nimechanganya mafailiKikoba na kibati Ni vitu viwili
Ndo sababu watafiti wanasema watanzania tunatumia 1% kuwazaKibati ni mtindo ambao unasaidia kufanya savings coz mm ni mmoja wapo wa wanufaika wa hiyo kibati
Mkuu Mimi sibaatishi maisha any way hapa siyo pa kushindana tuwaachie akina myweither na diamondAisee Elim ya Banking kwa mleta post inakupa shida saaana.
Kwani mtu anapoweka pesa kwenye Fixed Deposit Account inatofauti gani na upatu kwenye ku save
Tofauti ni moja tu kwamba ile Bank huku ni Watu.
Wanaume wa Dar mnashida saana,yaani inafikia wanawake wanaakili kuliko wanaume?au mpaka Upate uandikwe kwa Kiingereza ndio uone faida yake?
Kuna Kinamama wanamajumba kwa Upatu.
Mungu anisamehe,ila kama una Age above 25 yrs na upeo wako ni huo,basi utakuwa unaishi kwa kubahatisha maisha.
NI NJIA MOJAWAPO YA KUHIFADHI HELA ZAKO HASA UKIWA NA MALENGO KUWA NIKIPOKEA HELA HII NITAFANYA JAMBO FULANI NA NDIO LENGO LA MICHEZO HII YA KINAMAMA NA KINA BABA baadhi, WENGINE WANAJENGA KWA STYLE HII MIE MDOGOWANGU WA KIUME ALIKUWA ANACHEZA MCHEZO WA LAKI 3 KWA WIKI NA AMEJENGA NYUMBA KWA MAANA! ZILE HELA ALIKUWA AKIPOKEA NI ZA KWENYE UJENZI TU NA SASA YUPO NDANI YA NYUMBA YAKE...Unamaanisha "Upatu" mkuu?
Hii kitu nilishampga marufuku Wife kujihusisha nacho.
Mwisho wa siku ni kuzalisha madeni.
Kweli kabisa mkuu hata maofisini watu huwa wanafanya sana hiyo kitu na wanafaidika. Mimi Binafsi nilifaidika sana kwa sababu ilikuwa kila terehe 15 na 30 anatoka mtu na imenisaidia kufanya mambo mengi tu ya msingi kwao hao wanao yapinga nadhani bado hawajatoka kwenye maisha ya wazazi wao. Hao traffic makao makuu pale Dar ndio zao kucheza huo upatu na mtu akipkea anapata mgao wa maana kabisa.Aisee Elim ya Banking kwa mleta post inakupa shida saaana.
Kwani mtu anapoweka pesa kwenye Fixed Deposit Account inatofauti gani na upatu kwenye ku save
Tofauti ni moja tu kwamba ile Bank huku ni Watu.
Wanaume wa Dar mnashida saana,yaani inafikia wanawake wanaakili kuliko wanaume?au mpaka Upate uandikwe kwa Kiingereza ndio uone faida yake?
Kuna Kinamama wanamajumba kwa Upatu.
Mungu anisamehe,ila kama una Age above 25 yrs na upeo wako ni huo,basi utakuwa unaishi kwa kubahatisha maisha.
Upatu unasaidia sana kama kuna uaminifu kati yenu, mimi kuna dada yangu ameweza kumsomesha mtoto wake sekondary kwa ada ya milioni moja na zaidi kwa mwaka kwa kutumia upatu hadi mume wake amemshangaa.Aisee Elim ya Banking kwa mleta post inakupa shida saaana.
Kwani mtu anapoweka pesa kwenye Fixed Deposit Account inatofauti gani na upatu kwenye ku save
Tofauti ni moja tu kwamba ile Bank huku ni Watu.
Wanaume wa Dar mnashida saana,yaani inafikia wanawake wanaakili kuliko wanaume?au mpaka Upate uandikwe kwa Kiingereza ndio uone faida yake?
Kuna Kinamama wanamajumba kwa Upatu.
Mungu anisamehe,ila kama una Age above 25 yrs na upeo wako ni huo,basi utakuwa unaishi kwa kubahatisha maisha.
Unazungumza kama sio mtanzania wa kawaida vile,inawezekana kuweka 200000/= ila kwa mazingira yetu kurupushi yanayotuzunguka watanzania wa kawaida.Kuweka 200000/=ndani na sawa na kuzuia uharo usitoke.Elewa hivyo,yaweza kawa siungi,ila nina mifano hai ya vijana waaminifu walioamua kufanya huo mchezo wa kibati na mpaka sasa navyokwambia wameweza kufanya mambo yanayoendana na ajira zao.Tatizo la huu mchezo mkipata mtu ambae si muaminifu,na wengi huwafanyi maamuzi ya kukurupuka wakitaka kutenda huo mchezo.Moja mcheze wenye uhakika wa kupata fedha kila muda ukifika,mbili msiwe wengi sana.Mkiwa watano na mnaojielewa,au hata watatu mnaojielewa.Huwa ni akiba nzuri kwa muda muafaka.Ni zaidi ya kukopa benk. fedha kibao halafu unakurupuka na wazo la biashara.Hufaa watu ambao wanataka kutimiza mambo ya kati kwa haraka sana,kama tu mna adabu nao.Mkuu Mimi sibaatishi maisha any way hapa siyo pa kushindana tuwaachie akina myweither na diamond
My concept ni
Una 200000
Kwa miezi 3 ni 600000
Kariakoo kuna vitu kibaoo vya 150000 ambavyo unaweza kopesha kwa 250000 kadri ya mahitaji ya wafanyakazi wenzio ndugu jamaa na marafiki hata wa mkoani kwamba mtalipana mwisho wa mwezi
Kwa miezi 3
Utakuwa na zaidi ya ml 1.
Saving saving saving wee endelea kung'ang'ania upata , huo hufanya na watu wasiopenda kujituma
Watu wavivu
Watu waoga
Watu wasiopenda kujaribu.
Watu wanaotumia 1% kuwaza
Kama unamwamini MTU unampa pesa kwanini usimtafute MTU, watu ukawamini ukawapa vitu kwa faida?
Very sorry