Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 48,482
- 42,142
Get well soon Absalom
Alianza Ulimboka akaja Kibanda atakaefuta mungu amuepushe kazia hiyo
Endelea kuamini kuwa aliyekutwa na ngozi ndiye aliyekula nyama!. Kumbe wengine hamjui 'dupe'!, or 'make belive'! kwa kutumia 'Ulimboka style' ili kuuaminisha umma kuwa ni 'wale wale!' kwa lengo la kuwapoteza tuu maboya 'simple minds', kama nyinyi and you've bought it jumla!.Ila mengine hayamuhusu mungu yapo ndani ya uwezo wa binadamu, style iliyotumika kumtesa Dr Ulimboka
This is the same Mafia Gang, i don't buy any other story.
ww mjinga unatetea kitu gani hapa?hata kama si hao waliomteka Dk Uli, hao unaowatetea wamewapata waliofanya ushenzi huu kwa Dk Uli? km wao walifanya na hawajapatikana hadi leo bas wamefundisha na wengine kufanya hivi kwa sababu serikali pengine inawalinda.acha kutetea uozo ww.Endelea kuamini kuwa aliyekutwa na ngozi ndiye aliyekula nyama!. Kumbe wengine hamjui 'dupe'!, or 'make belive'! kwa kutumia 'Ulimboka style' ili kuuaminisha umma kuwa ni 'wale wale!' kwa lengo la kuwapoteza tuu maboya 'simple minds', kama nyinyi and you've bought it jumla!.
Pole!, but with time you'll grow up and become 'ordinary mind' and finaly into 'great mind' and by that time, you'll be able to think deep na kutopotezwa na hizi danganya toto za kupotezea maboya.
Pasco.
hata mimi nashangaa kwa sababu wakenya wamerudi kwao kupiga kura.
Another ufisadi, waletwe FBI kuchunguza hao watekaji
ni fisadi mzoefu rostam bin aziz,kibanda aliamua kufanya kazi kwa mwizi wa rasilmali za watanzania na kusema wimbo wanaoimba chadema wa ufisadi hauna mashiko na wa kishamba,huyo ndio absalom kibanda.
get well soon brother
Dada yangu Tina,
Samahani sana, napata mashaka na usahihi wa hii taarifa yako uliyoileta humu chini ya "habari mpasuko!".
Kwanza hukuweka source, ila kwa vile ni lady, kutoweka source kunahalalisha uwezekano wa connection fulani, kama member tuu mwenzake wa jf, mshirika wake newsroom, rafiki wa kike, mke, etc, that is understandable!, na tumevumilia kwa ahadi ya kupatiwa update!. Lakini tangu ilipopost ile first post, tunaelekea masaa 6 baadaye na hakuna update yoyote!.
Mara baada ya kuisoma humu, nilitembelea zile kumbi ambazo Kibanda huwa anashinda, sikukuta kitu, hii inamaana wewe Tina ndio the first to know hata barazani kwake wasijua, ilhali unadai ametekewa nyumbani kwake?!. Kutekwa ni kuhamisha toka sehemu moja hadi nyingine, kuna kuvamiwa nyumbani na kutekwa, lakini huku kuvamiwa nyumbani, kutekwa, kujeruhiwa na kupelekwa Muhimbili kunatia mashaka sana!.
Mode!.
Nashauri tuweke vigezo maalum vya "habari mpasuko", ili kupata uhakika wa habari mpasuko yoyote ambayo ni shoking, 1. lazima mleta habari atoe source, na kama ni yeye na ameshuhudia then
2. Aweke contact ili modes mumpigie simu ku verify hiyo habari, vinginevyo mtu yoyote anaweza kuleta uzushi wowote na kusail through hivyo kuligeuza jukwaa letu hili adhimu kuonekana kama kijiwe fulani, au genge la wazushi na wote kuonekana hatuna maana!.
@Pasco, kulikoni?Endelea kuamini kuwa aliyekutwa na ngozi ndiye aliyekula nyama!. Kumbe wengine hamjui 'dupe'!, or 'make belive'! kwa kutumia 'Ulimboka style' ili kuuaminisha umma kuwa ni 'wale wale!' kwa lengo la kuwapoteza tuu maboya 'simple minds', kama nyinyi and you've bought it jumla!.
Pole!, but with time you'll grow up and become 'ordinary mind' and finaly into 'great mind' and by that time, you'll be able to think deep na kutopotezwa na hizi danganya toto za kupotezea maboya.
Pasco.
Mkuu Mag3, breaking news ya Tina ilishushwa humu saa 8 usiku na ikadumu hivyo hivyo hadi saa 2 asubuhi, six hours!, without any update or any collaboration. Nilipopata confirmation toka mtandao mwingine, niliomba msamaha kwa Tina, nikaweka ile confirmation pamoja na picha, ile ile confirmation, post hiyo ilifutwa!, nilianzisha thread ya Kibanda Kama Dr. Ulimboka!, Nae Kupelekwa Afrika Kusini ..., thread hii ikafungwa!.@Pasco, kulikoni?
Lazima watapata tu wa kumsingizia eg Uganda, Burundi, Rwanda.
Hapa kuna pointi ya msingi sana. Ni wachache sana wanaweza iona.Endelea kuamini kuwa aliyekutwa na ngozi ndiye aliyekula nyama!. Kumbe wengine hamjui 'dupe'!, or 'make belive'! kwa kutumia 'Ulimboka style' ili kuuaminisha umma kuwa ni 'wale wale!' kwa lengo la kuwapoteza tuu maboya 'simple minds', kama nyinyi and you've bought it jumla!.
Pole!, but with time you'll grow up and become 'ordinary mind' and finaly into 'great mind' and by that time, you'll be able to think deep na kutopotezwa na hizi danganya toto za kupotezea maboya.
Pasco.
......