Sonko Jr.
JF-Expert Member
- Oct 10, 2015
- 806
- 320
Nimekusoma. Mleta mada angependa kujua kibamia kinalinganaje. Ukiacha mambo ya kuhisi. Kuhisi sio reality.Wewe uwatafute waliotoa hizo fact, mi sina muda wa kukuresearchia hayo maana nina majukumu mengi. Nilichokujibu ni kwa mujibu wa research ya wanasaikolojia iliyokwisha fanyika.
Kama wali-interview watu kuwauliza wanajiwaziaje na kisha kuwapima na kipimo ikaonekana ni kweli mimi sijui. Nikiiona hiyo doc tena nitakutag