Kibamia ni size ya inch au sentimeter ngapi?

Kibamia ni size ya inch au sentimeter ngapi?

maadam ushanihakikishia, wao waendelee tu kujisevia.. mi natulia nasubiri zamu yangu..kwani ni bigji hiyo kusema inaisha utam?
Asiyejua maana haambiwi maana. Mtoto mbishi kama Ndoroobooo khaaaa! !!
 
vibamia vinatofautiana urefu kutokana na kukomaa kwake
 

Attachments

  • 1445410425660.jpg
    1445410425660.jpg
    126.6 KB · Views: 324
  • 1445410493130.jpg
    1445410493130.jpg
    18.2 KB · Views: 306
Nilihangaika Sana! Kila Demu Kwangu Ilikuwa Bwawa! Huyu Dokta Wa Tiba Asili Alifungua Ukurasa Mpya Ktk Maisha Yangu!, Dr Jerome 0757430913
Fafanua ilikuwaje? Isije ikawa wewe ndo Dr. Jerome.
 
mi naifikiria mita 200 tu baada ya tarehe 25 nitapima hvyo vingne
Lowassa ni shiida. Yaani mimi nimenunua tape measure nimeshapima mita 200 toka kituo nilichojiandikisha halafu nimeweka tofali la kukalia.
Wee masai dada asante kwa kupima 200m kabla ya oct 25, acha hao wahangaike kupima vibamia.
 
Hayo ni maneno mawili, kuna sababu za watu kufanya research yenye majibu ndo maana nimeona nisiwe mbishi. Let's agree to disagree
Acheni malumbano bhana jamaa kataka kujua size ya kibamia full stop.
 
Kumbuken kuna maradh zaid ya ukimwi uwiiiii
 

Attachments

  • 1445414256505.jpg
    1445414256505.jpg
    66.1 KB · Views: 266
Back
Top Bottom