Naona watu mnaleta kejeli na post yangu kwamba nijiamini sio? Yaani kama nipo vitani naona kabisa adui yupo na AK 47 na harafu mimi nina fimbo bado nijiamini
Kina namna inayomfanya mtu ajiamini jamani mimi tatizo langu ni kubwa sana, narudia tena ni kubwaaaaa
Nakutana na dhihaka sana mtaani, yaani nikishafanya na mtoto wa kike leo nikija kumuambia turudie tendo nakuwa napigwa chenga
Hapa bila kumuuitia pesa haji na akija akili yake inaonesha kqbosa ipo kwenye pesa tu
Kuna mmoja huyo yeye kila akija anakuwa kavaa pedi yaani kila akija anadai Simba wanacheza anataka pesa tu apite hiviiii
Hapa kujiamini kunatoka wapi? Kuna kipindi ndio naanza biashara na biashara ndio imeanza kukubari nilikuwa na kismat sana na watoto wa kike (nadhani sababu ya pesa) niliwangonga wengi sana ila kati ya hao wengi sikuwahi kupata mwenye sizi ndogo
Sasa hapa naona mmekomaa nitafute wa saizi yangu au mnadhani mimi ni mgeni kwenye haya mambo?
Kikubwa hapa nataka dawa ya kurefusha na sio vinginevyo, harafu mbaya zaidi nina kauume kadogo harafi ni kembamba pia
Nikiwa kwenye tendo naona kabisa jinsi navyowaboa hawa viumbe
NAHITAJI MSAADA JAMANI NA SIO VINGINEVYO HIZO SAIKOLOJIA ZENU NIMESISIKIA SANA NA HAZIJAWAHI KUNISAIDIA LOLOTE