24 Megapixel
Senior Member
- Mar 2, 2019
- 149
- 328
- Thread starter
- #61
Jaman acheni na masuala ya kunitia moyo nateseka ni kadogo kwakweli
Na kila mwanamke ninaekutana nae analalamik, ila tatizo nimechukua baadhi ya mawasiliano hapa watu wanaonekana kutaka kupiga hela kupitia tatizo langu
Mwenye ujuzi aweke nondo hapa huenda pia kuna wengine wenye tatizo kama langu wanaweza kupata msaada pia kupitia mimi
Mwenye ujuzi jamani aweke hapa