Kibamia kimekuwa kero wadau

Kibamia kimekuwa kero wadau

Naona watu mnaleta kejeli na post yangu kwamba nijiamini sio? Yaani kama nipo vitani naona kabisa adui yupo na AK 47 na harafu mimi nina fimbo bado nijiamini

Kina namna inayomfanya mtu ajiamini jamani mimi tatizo langu ni kubwa sana, narudia tena ni kubwaaaaa

Nakutana na dhihaka sana mtaani, yaani nikishafanya na mtoto wa kike leo nikija kumuambia turudie tendo nakuwa napigwa chenga

Hapa bila kumuuitia pesa haji na akija akili yake inaonesha kqbosa ipo kwenye pesa tu

Kuna mmoja huyo yeye kila akija anakuwa kavaa pedi yaani kila akija anadai Simba wanacheza anataka pesa tu apite hiviiii

Hapa kujiamini kunatoka wapi? Kuna kipindi ndio naanza biashara na biashara ndio imeanza kukubari nilikuwa na kismat sana na watoto wa kike (nadhani sababu ya pesa) niliwangonga wengi sana ila kati ya hao wengi sikuwahi kupata mwenye sizi ndogo

Sasa hapa naona mmekomaa nitafute wa saizi yangu au mnadhani mimi ni mgeni kwenye haya mambo?

Kikubwa hapa nataka dawa ya kurefusha na sio vinginevyo, harafu mbaya zaidi nina kauume kadogo harafi ni kembamba pia

Nikiwa kwenye tendo naona kabisa jinsi navyowaboa hawa viumbe

NAHITAJI MSAADA JAMANI NA SIO VINGINEVYO HIZO SAIKOLOJIA ZENU NIMESISIKIA SANA NA HAZIJAWAHI KUNISAIDIA LOLOTE

Piga picha ikiwa imelala na imesimama kisha nitumie inbox kwanza
 
Tafuta soft kopi ya kitab kinaitwa KAMASUTRA
Ninacho tayari mkuu ila bado hakina msaada
Screenshot_2021-09-05-08-28-56.jpg
 
Dah kuna manzi mmja mkali sana
Ila k yake n fupiiiii
I mean sawa n kidore cha mwisho
Hope mgekutana mge pair
 
Fanya mazoezi ya kutosha, kula vyakula vyenye mlo kamili, kunywa maji ya kutosha hapo utaimarisha misuli ya uume na hivyo utakuwa unachelewa kumwagaa! Kwanin huffurahii tendo ni Kwa sababu unawahi kumwaga na sio ukubwa wa dick
Pia acha kuangalia X zinakudanganya sana na hizo pia ni mojawapo zinakuondolea confidence, na shida kubwa hapo unaringanisha your dick na ya kwenye X videos, brother forget about xvideos, kama mimi ingekuwa Kuna nafasi ya kuformat kichwan basi part ya kwanza kuformat ingekuwa faili la xxx Kwa brain yangu. Xvideos ni nyoooko wakubwa na Bora wamefungiaaa
Bado ukitumia vpn unawapata
 
Nkutie moyo tu...
Hata ukiwa na mkuyange mkubwa kama wang au mwenzang mandingo yupo Kule America
Kama huwezi kumaliza hata dk5 bado ww n kbamia tu,

Kwa iyo inawezekana we n kbamia twice au kbamia square
Chakufanya jtaid kuongeza mda wa kukaa juu ya papuchi atleast robo saa .utakuwa umetatua kbamia cha kwanza
Kisha ndo uje kwenye kbamia cha pili

...kwa matric ya kustay mda mrefu ntafute mzee I can help you hutoamin

Shusha Nondo hapa
 
Dawa ninayo, taja location nikuletee bure.
Msaada huu ni kwa mtoa mada tu, nyie mnaoficha vibamia vyenu tulieni
Ahsante sana mkuu, nipo kanda ya ziwa ila hata kama wewe haupo kanda ya ziwa unaweza kunitumia kwa bus na nikagharamia gharama za usafiri

Njoo PM tuyajenge mkuu, nitashukuru sana aiseeee
 
Poa.
Ila wiki hii nitakuwa busy kinyama. Kuanzia kesho nitakuwa busy mpaka jumapili. Kuanzia j3 ijayo takuwa free
Ahsante sana mkuu, nipo kanda ya ziwa ila hata kama wewe haupo kanda ya ziwa unaweza kunitumia kwa bus na nikagharamia gharama za usafiri

Njoo PM tuyajenge mkuu, nitashukuru sana aiseeee
 
Ukubwa wa uume unachangiwa moja kwa moja na jeni ulizorithi kutoka kwa wazazi wako wawili , kiwango cha homoni dume kilichokuwa kwenye tumbo la uzazi la mama yako kipindi akiwa na mimba yako na kwa kiwango fulani aina ya chakula ulichotumia ukiwa mdogo na kabla ya balehe kuisha.

Hakuna dawa mpaka sasa ambayo inaongeza uume ila labda ukafanyiwe upasuaji nje ya nchi ambayo ni risk kubwa mno, hizi dawa mnazouziwa huko nje ni "aphrodisiac" kwa maana zina changia kuongezeka kwa hormone dume kwa muda mfupi kitu kitakachopelekea ongezeko la mzunguko wa damu na hivyo uume utajaa damu kwa muda mfupi na utaoonekana kwa kiwango fulani umeongezeka ila utarudi kawaida baada ya tendo.

Kumaanisha hautokuwa mkubwa kama mnavyodhani , kama unajiona una uume mdogo si kosa lako jifunze kuutumia , kula vyakula vya ku boost hormone (tangawizi,pilipili,carrots ,black chocolates ), punguza vyakula vya mafuta na wanga halafu fanya mazoezi moderate kutanua mishipa ili damu ipite vizuri.

n.b
Umeujuaje kama ni mdogo ikiwa haujalinganisha na watu wengine au kutazama pornography ambayo kwaasilimia kubwa actors uliojilinganisha nao ni below 2.5% nadhani ndo wana hizo mashine wengine ni surgery na camera angle tu.JIAMINI
 
Back
Top Bottom