Bwana mdogo hicho kibamia chako ndicho ulichoumbwa nacho. Binadamu hatufanani kwa vitu vingi ; warefu, wanene, wafupi ,wembamba, weusi, weupe, wa njano, wekundu, magenius, wenye akili nyingi ,akili za kati, akili ndogo , machizi, vichaa, wagomvi, wapole , wenye hela ndefu, hela chache , makapuku, nk nk.
Unataka uwe the best wa kila kitu?
Au je hilo la uume mkubwa ndili hitajio lako namba moja?
Shukuru kwa ulicho nacho, kitumie na ufurahie maisha. Kuna watu walikuwa na izo makitu kubwa wakaishia kukatwa na wapenzi wao au kwenye fumanizi na sasa hawana kitu, wengine wanazo kubwa lakini ni mashoga.
Jiamini , hizo sekunde tano zinatosha sana kwani kuna ambao jogoo amelala forever. Wewe unasimamisha na unafanya kabisa(unaingiza mle kwenye mambo) shukuru sana . Endelea kuzikula hizo kitu wala usijilaumu na kusononeka. Huyo asiyeridhika ndiye asononeke. Akikutema huyu ,tafuta yule. Ila kuna kuna mtu amekushauri utafute hela - ukiwa na hela hao wanaokukimbia watakutafuta wenyewe na pia watatafuta wenyewe namna ya wao kuenjoy kibamia chako huku wewe unaendelea na sekunde tano zako unatoa wazungu.
Enjoy maisha dogo ,acha kuwaza vitu visivyo vya msingi.