Kibaka maarufu, Ally Dangote atiwa mbaroni Arusha

MLETENI TUMUUE....!

1.kulia ni Kibaka machachari Mkoani Arusha,Mkazi wa Unga limited anaitwa ALLY DANGOTE (19)

Kushoto ni Kibaka mwenzie Hashim Kibwerezi

2.Alikamatwa baada ya mtego wa Polisi Jamii wa mitaa mitatu ya
1.Polisi Jamii wa Kwa baniani
2.Polisi Jamii wa Kanisani
3.Polisi Jamii wa Tindigani

3.Walipowakamata wakawapeleka kwa mwenyekiti wa Mtaa Bw. Abubakar Seif.

4.Mwenyekiti wa mtaa Bw. Abubakar Seif akawapeleka Polisi kituo cha kati Arusha na kuwakabidhi wakiwa wazima wote wawili.

5.Jioni ya leo ndugu walijulishwa kuwa waende wakachukue Maiti zao monchwari.

6.Wananchi wamemimika Chumba cha Kuhifadhia maiti wanaingia na Kuhakikisha kama Kweli ALLY DANGOTE amefariki.

Duuuuhhhh kuua imekuwa kazi nyepesi Kiasi hiki..? Mbeleni italeta shida tu kujua yupi Jambazi yupo siyo Jambazi kwa hao wanaojua Kuua.

Binafsi naona bora wangeuwawa na wananchi wenye hasira kali kama kweli ni wauaji au watu hatarishi kuliko kuhalalisha polisi Kuua watuhumiwa.

SO SIMPLE YANI,HAKUNA NOMA.
20231122_034103.jpg
20231122_034116.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
SO SIMPLE YANI,HAKUNA NOMA.View attachment 2821328View attachment 2821329

Sent using Jamii Forums mobile app
wamelambaa wote wawili mkuu??au ndangy pekeeyake
 
Huwezi kumtetea kibaka
 
Polisi wa arusha ndowako ivo ukiwa msumbufu unapelekwa unatoka awamu nyingine utatokea mochwari.
Ndio sio Arusha tu kote duniani, hukumbuki za Marekani zile polisi ukiwazingua sana wanakubananisha shingo tu hadi unakata upepo hivyo yaan
 
Back
Top Bottom