kirumonjeta
JF-Expert Member
- Feb 9, 2008
- 3,966
- 1,968
mmh kibaka hana hata jeraha!!
....mbona anang'aaa ile mbaya, hata arusini anaingia kabisaa. Kweli mji mwema ni wema kwelikweli au ndo akina kamata mwizi meeeen...!!
Hapoo umetuongopea mkuu kibaka gani hana hata alama ya fimbo au damu mmmmhhh au kamwibia sharobaro wale wa kamata mwizii men kamata mwizii meen huku kashika suruali krb na dushe
Nadhan huyo ni mlevi au tu na wala sio mwizi...