Herbalist Dr MziziMkavu
JF-Expert Member
- Feb 3, 2009
- 42,318
- 33,125
bwana hicho kiatu ukivalia bukta na tshirt usinipimie.kimekaa kama lakuchumpa la rama vile..
kimekaa kama lakuchumpa la rama vile..
Lakunchumpa lakupalama haaa we litinge halina gharamaaaa!!!
bwana hicho kiatu ukivalia bukta na tshirt usinipimie.
Tatizo huku viatu vipo lakini bei yake ghali havishikiki bei huku inaanzia dola 150 na kuendelea inategemea uzuri wa kiatu chenyewe jinsi kilivyo Sister.waoh kipo powa, kama vipi tuongee biashara nimnunulie my young brother.
ila najua vitu vya wanaume ni gharama sana especial viatu nshauliziaga tena mtumba mtu anakwambia 70,000 na vingine mpaka 150,000 ila to me doesn't matter as long as nina hela na viatu nimevipenda nanunua.Tatizo huku viatu vipo lakini bei yake ghali havishikiki bei huku inaanzia dola 150 na kuendelea inategemea uzuri wa kiatu chenyewe jinsi kilivyo Sister.
ndo mana yake yani full kupendeza.tena iwe ndefu kama ile ya pinda na jk kwenye ile snap ya duka la picha..
Ukivaa viatu hivyo, unaweza tembea kilomita nyiiiiiingi bila kuchoka.
waoh kipo powa, kama vipi tuongee biashara nimnunulie my young brother.
Hii nayo namna gani?
kha haya bwana ila mimi nilijua labda anauza.Muongee biashara chake? kadownload sehem kakiweka hapa