Kiatu cha kiume toka uturuki kinauzwa

makaveli10

JF-Expert Member
Mar 27, 2013
28,213
81,178
Wazee nauza kiatu,kimeletwa kama zawadi toka uturuki lakini hakinitoshi.
Saizi ya kiatu ni UK 8, Uero 42kama kinavyoonekana pichani.
Bei ni pesa taslimu za kitanzani 70 elfu.
kipo kigamboni
0659445718

IMG_20220528_142803.jpg
IMG_20220528_142717.jpg
IMG_20220528_141811.jpg
IMG_20220528_141804.jpg
IMG_20220528_141638.jpg
IMG_20220528_141748.jpg
 
Ndugu yangu 30 nini, adhabu ya miaka 30 jela baada ya kubaka au😂😂(joke)

Kwa 30 sikuuzii kaka, unisamehe, hapo udugubwetu wa damu nauweka kando kaka.
😂Yani umeamua kuvunja undugu kabisa, ningekuwa na pesa nzuri ningechukua hiki kiatu,nikikipigia jeans na shati ya mikono mirefu nikachomekea dah Maisha nakuwa nimeyapatia sana
 
😂Yani umeamua kuvunja undugu kabisa, ningekuwa na pesa nzuri ningechukua hiki kiatu,nikikipigia jeans na shati ya mikono mirefu nikachomekea dah Maisha nakuwa nimeyapatia sana
😂🤣,sijaua udugu ila nimeuMUTE kidogo kwenye hili suala kaka.

Pembeni na hii biashara udugu wetu uko pale pale kaka.
 
Wazee nauza kiatu,kimeletwa kama zawadi toka uturuki lakini hakinitoshi.
Saizi ya kiatu ni UK 8, Uero 42kama kinavyoonekana pichani.
Bei ni pesa taslimu za kitanzani 70 elfu.
kipo kigamboni
0659445718
Bei yote hiyo kisa kimetoka uturuki au?
 
Size yenyewe hiyo hapo na suruali nyeusi ili height izidi kuonekana ndefu kutokana ma muunganiko wa black, na juu tayar nna njia tatu za kubadili outfit, mchawi bei
 
Back
Top Bottom