fundi bishoo
JF-Expert Member
- Jun 26, 2018
- 12,963
- 22,666
Mambo ya waturuki ayo
Anatakiwa akigawe kwa mtu/jamaa yake wa karibuKasema hakimtoshi
why so cynical
Anatakiwa akigawe kwa mtu/jamaa yake wa karibu
Maana hata yeye hajaingia gharama yoyote kukipata.
Anatakiwa akigawe kwa mtu/jamaa yake wa karibu
Maana hata yeye hajaingia gharama yoyote kukipata.
Afaulishe pesa gani wewe, wakati hakuna pesa yoyote aliyotoa/aliyotumia.Zawadi apewe yeye wewe umpangie matumizi haujui kama anafaulisha pesa ifanye mitikasi nyingine mkuu
Kwamba mimi narudi nyuma au hukusoma vizuri.. Kiatu ni saizi 42 mimi guu langu saizi44Kitunze utakua nacho
Sina ndugu yangu.Huna open ya uturuki uniachie kwa bajeti ya kidugu?
Una ufala fulani kichwni mwako😂🤣Zawadi inauzwa😂😂
umasikini mbaya sana
Zawadi inauzwa😂😂
umasikini mbaya sana
Shida Sina roho hiyo mkuu😂Anatakiwa akigawe kwa mtu/jamaa yake wa karibu
Maana hata yeye hajaingia gharama yoyote kukipata.
Anakupangia ukigawe bure etUna ufala fulani kichwni mwako
Nishakwambia hakinitoshi sasa niweke kama pambo ama!?
Wazo zuri.Anatakiwa akigawe kwa mtu/jamaa yake wa karibu
Maana hata yeye hajaingia gharama yoyote kukipata.
Ananipangia namba ya kuishi😂🤣Anakupangia ukigawe bure et
Upo mbali kidoogo mzeeKula 40k kesho jion nikipitie hapo..upo kigamboni sehem gan
🤣😂Last time i check hakuna instruction manual ya maisha ndio uzuri wake kila mtu anafanya awezavyo au unasemaje jombaa
Ongea bei ya mwisho.Upo mbali kidoogo mzee
42 mzeeOngea bei ya mwisho.
Hata mie naweza chukua. Si umesema ni namba 41?