mmbangaya JF-Expert Member Jan 16, 2015 997 1,764 May 9, 2017 #2 Dogo anajiuliza hilo ni jini amepishana nalo au ni binadamu?
titimunda JF-Expert Member Nov 26, 2014 7,571 9,782 May 9, 2017 #3 Dogo maliza kwanza shule hayo MAVItu yapo tu miaka yote
barafuyamoto JF-Expert Member Jul 26, 2014 32,375 29,732 May 9, 2017 #9 Pastor Achachanda said: Click to expand... Huyu mtoto au mbilikimo? Katoa wapi hisia za mzigo kama ni mtoto?
Pastor Achachanda said: Click to expand... Huyu mtoto au mbilikimo? Katoa wapi hisia za mzigo kama ni mtoto?
Foxhound JF-Expert Member Dec 15, 2013 28,726 76,125 May 9, 2017 #10 Pastor Achachanda said: Click to expand... Kweli kiatu sema kimevaa soksi
Joseverest JF-Expert Member Sep 25, 2013 52,470 70,590 May 12, 2017 #12 na hilo begi lake la ukweli nalikubali
Daudi Mchambuzi JF-Expert Member Nov 25, 2010 62,197 128,127 May 12, 2017 #13 Dogo amenza kusoma plate number mapema sana namuonea huruma iyo shingo kwasababu atasoma hizo plate number mpaka uzeeni kwake.
Dogo amenza kusoma plate number mapema sana namuonea huruma iyo shingo kwasababu atasoma hizo plate number mpaka uzeeni kwake.