simon baker
JF-Expert Member
- Oct 5, 2017
- 519
- 690
ngoja nijijengee mapenzi moto moto na tu TOYOTA mwaka huu..dah
Sasa hili ni gari au banda la kwere?!View attachment 667411
Ngoma kama hii, unatembea kama kawa
Ndo nlitaka kusema em tuendelee kucheck naona kodi zinapungua kwa kweli japo badoo zipo juu...Ebwana wadau naona jamaa wa TRA wamejishtukia naona kuna magari wameanza kurudisha kodi na tozo za 2017....
Mfano hii Audi A4 ya 2007 kodi ya 2017 ilikua 7.9m
View attachment 668968
.........................MREJESHO
January 1-4 2018 kodi ta gari iyo iyo ikawa 16.9m
View attachment 668969
Kodi ya leo Tar 5 january 2018 ni 10.0m
View attachment 668970
Nimecheki kwa A4 kuanzia 2005-2012 naweza kusema leo tar 5 naona wameanza kurudisha kodi za 2017 yaani CIf value...
Ila Nimenotisi kua CIf wameirudisha ile ya 2017 ila kwenye uchakavu wamedabo the amount...sijaelewa uchakavu unatozwa kwa fixed asilimia ama kila mwaka uchakavu unachange??
Yees...kuna kodi nliona 12 m saivi naona ipo 8m...Nimeangalia VW Touareg zimerudi 16-20m badala ya 34m niliiona juzi.
Kwa mwaka huu 2018....gari ya kuanzia 2011- kuendelea ni 'gari mpya' kwa mujibu wa TRA.Kwani uchakavu unaanzia miaka mingapi?
Haha ni kweli inafanana na mnyama nyumbu....kuna picha moja cheki comments za mwanzoni...kuna jamaa mmoja ameweka picha ya ilo gari....ni nyumbu copyrightSijui kwann waliamua kuliita nyumbu au lilifanana kiakili na wale wa Serengeti?
Mkuu mara ya mwisho kuagiza gari ilikua lini??Acheni kubabaika na bei hizo za TRA , ushuru unalipwa kutokana na bei utakayo nunulia gari yako. Hivyo basi unapotaka kuagizia gari kuwa makini na weka record za manunuzi na ulipaji vizuri ili TRA wasije kukubambikia bei ya Ajabu. Hakuna sheria inayo ipa mamlaka TRA kukulipisha bei ya Juu tofauti na ulivyo nunua. Cha msingi uwe na ushahidi wa kutosha bila chenga.
Na uweze kupambana
Gari mkuuSasa hili ni gari au banda la kwere?!
Nafikiri ndo lengo la awamu hiiWanataka tuanze kutumia usafiri wa baiskeli kama kwa kina Bashite (Kahama na Shinyanga).
Cheki cheki european wameanza kupunguza....ngoja nijijengee mapenzi moto moto na tu TOYOTA mwaka huu..dah
Mkuu acha 'zarau' kwa mainjinia wa JWTZ....iyo ndo gari ya kwanza na ya mwisho kutengenezwa Tanzania.....enzi za MwalimuSasa hili ni gari au banda la kwere?!
Kweli Mkuu tuwape muda mana wamerudisha CIf za zamani lakini uchakavu wameongeza sasa sijui wanacalculate vp uchakavuNdo nlitaka kusema em tuendelee kucheck naona kodi zinapungua kwa kweli japo badoo zipo juu...
Ss sijui zitakua volatile hadi lini
Tuwape muda naona tunarejea kwny hali ya kawaida
Sasa mbona wanatutengenezea majini?!Mkuu acha 'zarau' kwa mainjinia wa JWTZ....iyo ndo gari ya kwanza na ya mwisho kutengenezwa Tanzania.....enzi za Mwalimu
Mkuu nimesoma uzi wote na mimi ni mdau na nilistuka sana juzi, lakin kwa akili zangu nikasema wenda wana calculate kulingana na soko la dollarMkuu acha 'zarau' kwa mainjinia wa JWTZ....iyo ndo gari ya kwanza na ya mwisho kutengenezwa Tanzania.....enzi za Mwalimu
Kweli Mkuu tuwape muda mana wamerudisha CIf za zamani lakini uchakavu wameongeza sasa sijui wanacalculate vp uchakavu
Ilidizainiwa kufuata sura mnyama nyumbu ndo maana inaitwa nyumbu....kwa maelezo zaidi nenda jwtz ama subiri wakati wa 77 huwaga wanalipelekaga pale maonesho....utajionea for free....Sasa mbona wanatutengenezea majini?!
Hii prototype ilidesigniwa kwa kutumia sura ya dinosaur nini?!
Gari inatisha sura yake kama fuvu la nyani!
Mwanzoni nilipoweka hii thread nilijua labda ni german tuu ila kuna wadau wamesema ni yote hata ya japani....sema wamerudisha ya zamani ila cheki mwenyweStanley Mitchell Angalia pia na magari ya Japan/Korea trend ni hiyohiyo au ni kwa German cars tu?
Hao walicalculate kwa kupandisha Customs value CIF kwaiyo unaonekana umenunua kwa bei ghali ili wakupige kwenye shuru zao...Mkuu nimesoma uzi wote na mimi ni mdau na nilistuka sana juzi, lakin kwa akili zangu nikasema wenda wana calculate kulingana na soko la dollar
Anyway asante kwa kupiga kelele maana nami nipo nampango wakuvuta lexus IS wiki hii zilipopanda bei nikaona ishakuwa tabu.
Then yule paka shume anaezingua hapa acahaneni nae. Hana hata bajaji. Namfahamu
Kwani Mkuu TRA hawana akaunti humu jamii forums??
Kodi kubwa makusanyo hafifu,wenzetu kodi rafiki makusanyo tele,kwa east Africa Bandari zinazochuana kwa mapato ni Mombasa na Beira ya MsumbijiTatizo ninaloliona mimi moja, Kwa Kila Gari linaloingia nchini Serikali napata zaidi ya hio Bei ya Gari wenyewe pamja na usafiri. Mbona bado nchi ni Masikini?