Kiama kwa Wanunuzi wa German Cars (Audi, VW): Kodi ya kuingiza magari haya nchini yaongezeka maradufu

Ndio Mkuu nimecheki jana Tar 5 january 2018 naona kwa mfano kwa Audi A4 naweza kusema model zote kuanzia 2005 -2011 wamerudisha ile CiF waliyokua wanatumia 2017 sema sasa kuna baadhi ya miaka wameongeza ile EXCISE DUTY DUE TO AGE mfano mmoja ni A4 ya 2007 cif yake ni $ 4,138 ila kwa mwaka 2017....iyo Duty due to age ilikua dola 775.95 ila kwa jana tar 5 nimeona imepanda kufikia dola 1,551...

Ndo mana iyo audi kodi yake imetoka 7.9m mpaka 10m japo imepungua kutoka ile 18.3m
Wewe ni mtu wa ajabu sana Aisee! Sasa ulikuwa unalialia nini? Muda wote nilikuwa najaribu kukuambia hiyo iliyoongezeka ilikuwa ni UCHAKAVU. Lakini wewe na wakwepa KODI wenzako mlinitolea maneno ya kejeli na matusi.
Shame on you MOFOs..
 
Nimeangalia VW Touareg zimerudi 16-20m badala ya 34m niliiona juzi.
Sem

Naona wamejitahidi kupunguza ila mkuu kwani Golf na A4 ipi ni 'luxury' kwa mujibu wa TRA? Kwa maana naona kodi za Golf zipo juu kushinda A4 hapo sijaelelewa logic yao
 
Ukifungua uzi kama huu kuna watu wanakuja na negativity zao wanachangia pumba tu. Ona sasa marekebisho yamefanyika na bei zimerudi zile za kawaida, kwa kufanya hivi umesaidia watu wengi sana mkuu, HONGERA.
Asante sana Mkuu.....
Sema sijaelewa hapo kuhusu iyo Excise Duty due to Age....huwaga inachange kila mwaka ama iko fixed katika asilimia yani kua inachange endapo tu kutakua na mabadilko ya Customs Value CIf??

Mana naona gari cif ipo the same ila sasa duty due to age imeongezeka...sijaelewa wanavyocalculate hapo
 
Pathetic Swine!
 
Kwani uchakavu unaanzia miaka mingapi?
 
Wewe ni mtu wa ajabu sana Aisee! Sasa ulikuwa unalialia nini? Muda wote nilikuwa najaribu kukuambia hiyo iliyoongezeka ilikuwa ni UCHAKAVU. Lakini wewe na wakwepa KODI wenzako mlinitolea maneno ya kejeli na matusi.
Shame on you MOFOs..
We taarira kweli....mwanzoni tar 1-4 january walikua wameongeza CIF value ambayo ndo inadetermine shuru zote za gari husika....

Sasa wamerudisha cif za zamani ila uchakavu umeongeza....

Sasa nakuuliza swali la msingi :
niambie kodi ya uchakavu inavyocalculatiwa ili nisiwe 'mtu wa ajabu'
 
Acheni kubabaika na bei hizo za TRA , ushuru unalipwa kutokana na bei utakayo nunulia gari yako. Hivyo basi unapotaka kuagizia gari kuwa makini na weka record za manunuzi na ulipaji vizuri ili TRA wasije kukubambikia bei ya Ajabu. Hakuna sheria inayo ipa mamlaka TRA kukulipisha bei ya Juu tofauti na ulivyo nunua. Cha msingi uwe na ushahidi wa kutosha bila chenga.
Na uweze kupambana
 
We taarira kweli....mwanzoni tar 1-4 january walikua wameongeza CIF value ambayo ndo inadetermine shuru zote za gari husika....

Sasa wamerudisha cif za zamani ila uchakavu umeongeza....

Sasa nakuuliza swali la msingi :
niambie kodi ya uchakavu inavyocalculatiwa ili nisiwe 'mtu wa ajabu'
LIPA KODI ACHA VIOJA.
 
Back
Top Bottom