Kodi kubwa makusanyo haba, wenzetu kodi nafuu makusanyo tele.hii itapelekea kuingizwa kwa gari nyingi sana kimagendo toka nchi jirani, kwa mwendo wa kuongezeka kwa rushwa.Tofauti na nchi za Jirani wao hawana mlolongo wa kodi wamesingle,tunafanana vat,na import duty,hawana msururu wa mikodi.Ukienda Msumbiji, Malawi,Zambia magari na mafuta yako bei chini sanaHiki ndio nimekisema....kwa kuongeza kodi hawatapata hata hio ndogo kwasababu watu wataacha kununua kabisa.