Kiama kwa Wanunuzi wa German Cars (Audi, VW): Kodi ya kuingiza magari haya nchini yaongezeka maradufu

Ebwana wadau naona jamaa wa TRA wamejishtukia naona kuna magari wameanza kurudisha kodi na tozo za 2017....

Mfano hii Audi A4 ya 2007 kodi ya 2017 ilikua 7.9m
View attachment 668968

.........................MREJESHO

January 1-4 2018 kodi ta gari iyo iyo ikawa 16.9m
View attachment 668969

Kodi ya leo Tar 5 january 2018 ni 10.0m
View attachment 668970

Nimecheki kwa A4 kuanzia 2005-2012 naweza kusema leo tar 5 naona wameanza kurudisha kodi za 2017 yaani CIf value...

Ila Nimenotisi kua CIf wameirudisha ile ya 2017 ila kwenye uchakavu wamedabo the amount...sijaelewa uchakavu unatozwa kwa fixed asilimia ama kila mwaka uchakavu unachange??
Ndo nlitaka kusema em tuendelee kucheck naona kodi zinapungua kwa kweli japo badoo zipo juu...
Ss sijui zitakua volatile hadi lini
Tuwape muda naona tunarejea kwny hali ya kawaida
 
Sijui kwann waliamua kuliita nyumbu au lilifanana kiakili na wale wa Serengeti?
Haha ni kweli inafanana na mnyama nyumbu....kuna picha moja cheki comments za mwanzoni...kuna jamaa mmoja ameweka picha ya ilo gari....ni nyumbu copyright
 
Acheni kubabaika na bei hizo za TRA , ushuru unalipwa kutokana na bei utakayo nunulia gari yako. Hivyo basi unapotaka kuagizia gari kuwa makini na weka record za manunuzi na ulipaji vizuri ili TRA wasije kukubambikia bei ya Ajabu. Hakuna sheria inayo ipa mamlaka TRA kukulipisha bei ya Juu tofauti na ulivyo nunua. Cha msingi uwe na ushahidi wa kutosha bila chenga.
Na uweze kupambana
Mkuu mara ya mwisho kuagiza gari ilikua lini??
Ingekua ushuru unalipwa kulingana na bei uliyonunulia mbona ingekua ahueni??
Gari umenunua dola 3,000 ...TRA wanakuambia bei ya hilo gari ni dola 5,000 ndo maana wameweka calculator yao
 
Ndo nlitaka kusema em tuendelee kucheck naona kodi zinapungua kwa kweli japo badoo zipo juu...
Ss sijui zitakua volatile hadi lini
Tuwape muda naona tunarejea kwny hali ya kawaida
Kweli Mkuu tuwape muda mana wamerudisha CIf za zamani lakini uchakavu wameongeza sasa sijui wanacalculate vp uchakavu
 
Mkuu acha 'zarau' kwa mainjinia wa JWTZ....iyo ndo gari ya kwanza na ya mwisho kutengenezwa Tanzania.....enzi za Mwalimu
Mkuu nimesoma uzi wote na mimi ni mdau na nilistuka sana juzi, lakin kwa akili zangu nikasema wenda wana calculate kulingana na soko la dollar

Anyway asante kwa kupiga kelele maana nami nipo nampango wakuvuta lexus IS wiki hii zilipopanda bei nikaona ishakuwa tabu.

Then yule paka shume anaezingua hapa acahaneni nae. Hana hata bajaji. Namfahamu
Kweli Mkuu tuwape muda mana wamerudisha CIf za zamani lakini uchakavu wameongeza sasa sijui wanacalculate vp uchakavu
 
Sasa mbona wanatutengenezea majini?!

Hii prototype ilidesigniwa kwa kutumia sura ya dinosaur nini?!

Gari inatisha sura yake kama fuvu la nyani!
Ilidizainiwa kufuata sura mnyama nyumbu ndo maana inaitwa nyumbu....kwa maelezo zaidi nenda jwtz ama subiri wakati wa 77 huwaga wanalipelekaga pale maonesho....utajionea for free....
 
Mkuu nimesoma uzi wote na mimi ni mdau na nilistuka sana juzi, lakin kwa akili zangu nikasema wenda wana calculate kulingana na soko la dollar

Anyway asante kwa kupiga kelele maana nami nipo nampango wakuvuta lexus IS wiki hii zilipopanda bei nikaona ishakuwa tabu.

Then yule paka shume anaezingua hapa acahaneni nae. Hana hata bajaji. Namfahamu
Hao walicalculate kwa kupandisha Customs value CIF kwaiyo unaonekana umenunua kwa bei ghali ili wakupige kwenye shuru zao...
Gari ya dola 3,000 japan wenyewe wanakuambia ni dola 7,500

Tatizo vyanzo vya mapato hakuna sasa wanaona kwenye magari ndo pa kujaribu kufikia target

Sema jaribu kucheki maana wameanza kushusha kodi....
 
Tatizo ninaloliona mimi moja, Kwa Kila Gari linaloingia nchini Serikali napata zaidi ya hio Bei ya Gari wenyewe pamja na usafiri. Mbona bado nchi ni Masikini?
Kodi kubwa makusanyo hafifu,wenzetu kodi rafiki makusanyo tele,kwa east Africa Bandari zinazochuana kwa mapato ni Mombasa na Beira ya Msumbiji
 
Back
Top Bottom