englibertm
JF-Expert Member
- May 1, 2009
- 9,252
- 6,211
mkuu hujawahi kula zambalau?ivi hii ndio pulple? Jamani kutofautisha rangi kwangu shida kdg
mkuu hujawahi kula zambalau?
mkuu hujawahi kula zambalau?
Jamani msizitaje hizo zambarau msije ntoa roho yangu maana sina pa kuzipata lol
Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
Panda mtiwe baada ya miongo kadhaa nawe utaanza zivuna...