Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 25,969
- 51,130
Ukocha ndiyo nadhani Aziz Ki anaupenda kuliko kuwa mchezaji wa Yanga.
Matukio mengi ya Aziz ndani na nje ya uwanja yanaonesha anapenda zaidi kuelekeza wachezaji wenzake kuliko kucheza.
Nasikia yeye na Manqoba walikuwa hawaivi kisa kufanya kazi ya ukocha badala ya uchezaji.