Khanga Moko Laki si Pesa jamanii eee!!!

umenena
 
Mods NAOMBA HII IPELEKWE KULE KWA WAKUBWA... Please please... kwani kuna huyo dada wa kushoto ameacha MASABURI yake wazi...ona na huyo wa kati SABURI lake la kushoto lipo NJE...
 
Mods NAOMBA HII IPELEKWE KULE KWA WAKUBWA... Please please... kwani kuna huyo dada wa kushoto ameacha MASABURI yake wazi...ona na huyo wa kati SABURI lake la kushoto lipo NJE...
ahhaha..watanzania mngekuwa kweli mnajali rate ya ukimwi ingekuwa juu kiasi hiki?sasa hapo ubaya uko wapi? hahahhah
 
Jamani Carol mimi bado iko pata wewe sawa sawa hiyo "chikenparty" hiyo bmia na hiyo mauno iko na mahusiano gani? Waweza kuwa na bmia ukawa 120kmh, na waweza kuwa mche ukawa doro! Loh hawa watu si wakuangalia kabisa show 2hrs ukitoka hapo jasho lakutoka utadhani mbwa koko nimeapa sitatia timu kabsaa mie loh!
 
kama hujawahi ona masaburi hapa ndo angalie ukasimulie kijiweni
 
mimi nikiwaona nitawasaidia pesa za kununulia nguo za ndani.
 
niliwahi kwenda pale continental, walikuwa wakisisitiza no picture, imekuwaje wewe ukapata picha?
 
Wanaume mna kazi.

Alafu we El Toro huyo dada hapo kati vipi? Au alikua anajikuna?
 
ni leo ucku & every wed nite, never mis the sweet looks with our lovely african beauties @ the continental! Khanga moko tepetepe, utajibeba mwenyewe mie simo!
[video=youtube_share;klmuopazyri]http://youtu.be/klmuopazyri[/video]

gea habib na genge lako hamna adabu!
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…