TANZIA Khalfani Seleman Kikwete ambaye ni kaka wa Rais mstaafu Kikwete afariki dunia

Kikwete kwake siyo Mikocheni au ni ile nyumba aliyokuwa anajengewa na serikali?
 
Mzee Selemani alishafariki kitambo kama miaka mitatu au minne iliyopita na huyo aliyekufa sasa ni mtoto wake mkubwa yaani kaka yake Tatu na wenzake,Jakaya huyo ni mtoto wa kaka yake
Mkuu, soma tena kichwa cha habari.
 
Poleni san ,Mungu awe mfariji wenu.
 
Huyu ndo yule wa Bagamoyo au mwenyekiti wa ccm wilaya hivi miaka 2014-16 au r.IP.
 
Poleni sana wafiwa.Mungu awatie nguvu ktk kipindi hiki kigumu.
 
Yule wa chato atazuka kutoa pole au ataendelea kujificha kule shimoni? RIP 🪦
 
Hakika kifo ni somo tosha Kwa sisi tulio hai, tuna paswa kutenda mema, usimfanyie mabaya binaadamu mwenzako.
Poleni sana wafiwa
 

Huyu naye bado hajui kuandika mpaka leo!?
Nawajulisha taarifa...
Msiba mkubwa wa kaka yetu mkubwa...
Ridhiwani J. Kikwete (Mb) ...hapa ubunge haupo, ungesema mtoto wa ...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…