TANZIA Khalfani Seleman Kikwete ambaye ni kaka wa Rais mstaafu Kikwete afariki dunia

Mzee Selemani alishafariki kitambo kama miaka mitatu au minne iliyopita na huyo aliyekufa sasa ni mtoto wake mkubwa yaani kaka yake Tatu na wenzake,Jakaya huyo ni mtoto wa kaka yake
Mkuu, soma tena kichwa cha habari.
 
TANZIA
Innalilahi Wainnaillaih Rajiuun. Nawajulisha taarifa ya Msiba mkubwa wa Kaka yetu Mkubwa Bwana Khalfani Selemani Kikwete aliyefariki asubuhi hii.Msiba upo Msasani Nyumbani kwa Mh.Rais Mstaafu Dr. Jakaya Mrisho Kikwete. Taratibu za mazishi na mengineyo tutajulishana.

Ahsanteni sana.
Kwa Niaba ya Familia

Ridhiwani J. Kikwete (Mb)
Poleni san ,Mungu awe mfariji wenu.
 
Huyu ndo yule wa Bagamoyo au mwenyekiti wa ccm wilaya hivi miaka 2014-16 au r.IP.
 
TANZIA
Innalilahi Wainnaillaih Rajiuun. Nawajulisha taarifa ya Msiba mkubwa wa Kaka yetu Mkubwa Bwana Khalfani Selemani Kikwete aliyefariki asubuhi hii.Msiba upo Msasani Nyumbani kwa Mh.Rais Mstaafu Dr. Jakaya Mrisho Kikwete. Taratibu za mazishi na mengineyo tutajulishana....
Poleni sana wafiwa.Mungu awatie nguvu ktk kipindi hiki kigumu.
 
Yule wa chato atazuka kutoa pole au ataendelea kujificha kule shimoni? RIP 🪦
TANZIA
Innalilahi Wainnaillaih Rajiuun. Nawajulisha taarifa ya Msiba mkubwa wa Kaka yetu Mkubwa Bwana Khalfani Selemani Kikwete aliyefariki asubuhi hii.Msiba upo Msasani Nyumbani kwa Mh.Rais Mstaafu Dr. Jakaya Mrisho Kikwete. Taratibu za mazishi na mengineyo tutajulishana...
 
Hakika kifo ni somo tosha Kwa sisi tulio hai, tuna paswa kutenda mema, usimfanyie mabaya binaadamu mwenzako.
Poleni sana wafiwa
 
Rais mstaafu Jakaya Kikwete anatangaza msiba wa kaka yake ndugu Khalifan Seleman Kikwete uliotokea leo asubuhi. Msiba upo Msasani kwa Rais huyo mstaafu.

--
TANZIA
Innalilahi Wainnaillaih Rajiuun. Nawajulisha taarifa ya Msiba mkubwa wa Kaka yetu Mkubwa Bwana Khalfani Selemani Kikwete aliyefariki asubuhi hii.Msiba upo Msasani Nyumbani kwa Mh. Rais Mstaafu Dr. Jakaya Mrisho Kikwete. Taratibu za mazishi na mengineyo tutajulishana.

Ahsanteni sana.
Kwa Niaba ya Familia

Ridhiwani J. Kikwete (Mb)

Huyu naye bado hajui kuandika mpaka leo!?
Nawajulisha taarifa...
Msiba mkubwa wa kaka yetu mkubwa...
Ridhiwani J. Kikwete (Mb) ...hapa ubunge haupo, ungesema mtoto wa ...
 
7 Reactions
Reply
Back
Top Bottom