TANZIA Khalfani Seleman Kikwete ambaye ni kaka wa Rais mstaafu Kikwete afariki dunia

TANZIA
Innalilahi Wainnaillaih Rajiuun. Nawajulisha taarifa ya Msiba mkubwa wa Kaka yetu Mkubwa Bwana Khalfani Selemani Kikwete aliyefariki asubuhi hii .Msiba upo Msasani Nyumbani kwa Mh.Raisi Mstaafu Dr. Jakaya Mrisho kikwete. Taratibu za mazishi na mengineyo tutajulishana.

Ahsanteni sana.
Kwa Niaba ya Familia

Ridhiwani J. Kikwete (Mb)
Unamaanisha yule mwanae na Kikwete?
 
TANZIA
Innalilahi Wainnaillaih Rajiuun. Nawajulisha taarifa ya Msiba mkubwa wa Kaka yetu Mkubwa Bwana Khalfani Selemani Kikwete aliyefariki asubuhi hii .Msiba upo Msasani Nyumbani kwa Mh.Raisi Mstaafu Dr. Jakaya Mrisho kikwete. Taratibu za mazishi na mengineyo tutajulishana.

Ahsanteni sana.
Kwa Niaba ya Familia

Ridhiwani J. Kikwete (Mb)
Wote Ni wa MUNGU. Mbele yake nyuma yetu.
 
Ukiona mtu anataka sana serikali itangaze corona na kuishikia bango jua huyo hana ajira..anataka makampuni yafungwe na kupunguza wafanyakazi ili mkutane mtaani.
 
Back
Top Bottom