Kinga kingdom JF-Expert Member Joined Jan 11, 2017 Posts 769 Reaction score 847 Nov 18, 2017 #61 We Haupo chuo kikuu,mwanafunzi wa darasa LA nne anajua kitu Kitamu,we usijue?
Zemanga zoze JF-Expert Member Joined Jan 11, 2017 Posts 1,021 Reaction score 1,739 Nov 18, 2017 #62 Uzi umekakaa kiboya kama soga za saloon
Mzee Platinum Member Joined Feb 2, 2011 Posts 13,620 Reaction score 5,868 Nov 18, 2017 #63 Asprin said: Siku hizi vyuoni watu wanaenda kujifunza ujinga... Click to expand... Hawa vijana ni janga la Taifa. Kijana wa chuo kikuu lakini hajui kuandika. Hizo digrii zao wanipe zote nikazichome!
Asprin said: Siku hizi vyuoni watu wanaenda kujifunza ujinga... Click to expand... Hawa vijana ni janga la Taifa. Kijana wa chuo kikuu lakini hajui kuandika. Hizo digrii zao wanipe zote nikazichome!
Parabolic JF-Expert Member Joined Dec 3, 2013 Posts 2,919 Reaction score 3,247 Nov 18, 2017 #64 Story za secondary
W War ForThe Freedom Member Joined Oct 31, 2017 Posts 26 Reaction score 35 Nov 18, 2017 Thread starter #65 Mzee said: ~~>>>Vyuo vikuu vinazalisha Viazi badala ya wasomi... Mwanafunzi gani wa Chuo kikuu tena mwaka tatu haujui kuandika.... Mfano. apa, ayupo, io n.k. Huu ni Uchafu gani!?! Click to expand... sio hivyo kaka,, hapo nimetumia lugha ya maandishi isiyo rasmi (informal language) ,, lakini hiyo haimaanishi kwamba sijui lugha hii tamu ya kiswahili.
Mzee said: ~~>>>Vyuo vikuu vinazalisha Viazi badala ya wasomi... Mwanafunzi gani wa Chuo kikuu tena mwaka tatu haujui kuandika.... Mfano. apa, ayupo, io n.k. Huu ni Uchafu gani!?! Click to expand... sio hivyo kaka,, hapo nimetumia lugha ya maandishi isiyo rasmi (informal language) ,, lakini hiyo haimaanishi kwamba sijui lugha hii tamu ya kiswahili.
maguluashimba Senior Member Joined Sep 13, 2017 Posts 156 Reaction score 137 Nov 18, 2017 #66 Mkuu nadhani wewe ni hanithi, siyo story ya kuleta jamvini hivyo na kuomba ushauri kwa wanaume. Ulitakiwa uimalize wewe mwenyewe chumbani.
Mkuu nadhani wewe ni hanithi, siyo story ya kuleta jamvini hivyo na kuomba ushauri kwa wanaume. Ulitakiwa uimalize wewe mwenyewe chumbani.