Khaah!! Haya majaribu jamani

Kwani hiyo ni papuchi ya dhahabu hadi iwe na thaman ya laki moja?
 
Mwambie Anita aje hapa, laki tano itapendeza zaidi[emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
C★ wa mimi sorry sana! Hii ipitie kimya kimya
 
Mkuu Unasomea Chuo Gan ,,, Nahc Hyo Anitha Amekuona The Way You Are ,,,vya Wajanja Huliwa Na Wajinga And Vise Versa Is Tru
 
Mwaka wa tatu na bado hiyo unaandika io, hapo inakuwa apo, halafu inakuwa af! Ndo Kiswahili kinaboreshwa na wasomi au?
kuandika ivyo sio kwamba sijui lugha, ni vema utambue lugha ya uandishi inatumika vipi katika muktadha mbalimbali.
 
Kilicho kupeleka chuo fanya hicho usichanganye mada utakwama wazazi wanakutegemea usiwaangushe mkuu
 
~~>>>Vyuo vikuu vinazalisha Viazi badala ya wasomi...

Mwanafunzi gani wa Chuo kikuu tena mwaka tatu haujui kuandika....

Mfano. apa, ayupo, io n.k.

Huu ni Uchafu gani!?!
 
Reactions: ywf
~~>>>Vyuo vikuu vinazalisha Viazi badala ya wasomi...

Mwanafunzi gani wa Chuo kikuu tena mwaka tatu haujui kuandika....

Mfano. apa, ayupo, io n.k.

Huu ni Uchafu gani!?!
Siku hizi vyuoni watu wanaenda kujifunza ujinga...
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…