sweetlady
JF-Expert Member
- Dec 24, 2010
- 16,967
- 8,498
Hahahaha! M' Jr sasa utakuwa unaniangusha lol, inamaana hujui kuwa jf nzima Bishanga ndie anaongoza kwa uzushi?... Ukianza kumwamini Bishanga walah tena utanifanya nilie ...Mi hata najua basi! Jana nimeumia sana, kwenye status ya Bishanga alidai eti una mimba kweli?
Last edited by a moderator: