Father of All JF-Expert Member Feb 26, 2012 6,376 6,720 Nov 27, 2012 #2 Nadhani hawa wazee si kwamba wamo bali walichelewa kukua.
Ringo Edmund JF-Expert Member May 10, 2010 4,879 1,125 Nov 27, 2012 #4 huyo wa kwanza sio baba yake mbuyi twite,mbona wanafanana sana.
NAPITA JF-Expert Member Apr 2, 2012 5,076 2,243 Nov 27, 2012 #9 Yuke wa kwanza kanyoa kama mbuyu twite ha!ha!nani kamuinga mwezake
Jagarld JF-Expert Member Apr 7, 2011 2,515 3,042 Nov 27, 2012 #10 Ringo Edmund said: huyo wa kwanza sio baba yake mbuyi twite,mbona wanafanana sana. Click to expand... mkuu taratbu wakikuskia ndugu zake watatamani wakumezeee!
Ringo Edmund said: huyo wa kwanza sio baba yake mbuyi twite,mbona wanafanana sana. Click to expand... mkuu taratbu wakikuskia ndugu zake watatamani wakumezeee!