Kesi zimesimama tunaomba majaji mahakama kuu Sumbawanga

mwembemdogo

JF-Expert Member
Feb 28, 2016
2,282
1,251
Sisi wakazi wa mkoa wa Rukwa tunamwomba Mh.Jaji mkuu Mh.Chance Othman atuonee huruma kwani Ndugu na jamaa zetu ambao wanakabiliwa Na kesi katika Mahakama Kuu Sumbawanga wamekuwa Na wakati mgumu kutokana Na kusimama kusikilizwa Kwa kesi zao kutokana Na Majaji waliokuwepo kumaliza muda wao wa Utumishi.

Tunamwomba Mh.Jaji Mkuu athletes Majaji wengine ili kesi ziweze kusikilizwa kwani kinachofanyika ni uhairishwaji wa kesi huku Ndugu Na jamaa zetu walioko mahabusu wanateseka.
 
Back
Top Bottom