Kesi ya Ugaidi inayomkabili Freeman Mbowe na wenzake Watatu kuendelea tena tarehe 26/10/2021

Huyu mama kila akizungumzia HAKI, anadhihirisha unafiki wa hali ya juu. Na kila anapolitamka hilo neno, ajue anachota laana mbele za Mungu. Mungu hana ushirika na mtu mnafiki.
Mama yetu hana kosa!! Mbowe naye hana kosa!?. Wachonganishi wanaumbuka karibuni hii.
 
Natamani huu ujumbe aupate mhusika kabisa.Natamani nipate namba yake
 
Bora iishe huko mahakamani tujue kitachofata, hapatakuwa na jipya tena kwa hatua hii iliyopo ni kusubiri hukumu ya kionevu tu.
 
Nimeamua kumbadilishia taaluma Binti yangu, atafanya Afya na sio sharia tena! Hakuna maana ya kuteseka kusoma kisha ufanye maamuzi ya kipuuzi namna ile....Mungu akimpa uzima na Kibali miaka michacje nitakua na Daktari badala ya mla rushwa
 
Majaji wanavyojitoa katika shauri hili utafikiri wapo kwenye mbio za "relay" huku kila mmoja akionekana ana kipande chake cha ushiriki na kisha kumuachia mwingine.
 
Hakuna marefu yasiyo na mwisho!!
Hili nalo litapita!!

Mungu ndiye hakimu wa kweli , kwa wenye Nia njema, kesi hii Ni ya kumkabidhi Mungu, maana Mungu anasema "Vita yako Ni Vita yangu"

Anayeweza kuwashughulikia CCM na mahakama zao ni Mungu pekee.
Usisahau kuwa Mungu wa Sabaya ndiye pia Mungu wa Mbowe .
 
Usisahau kuwa Mungu wa Sabaya ndiye pia Mungu wa Mbowe .
Yap Ni kweli Mungu wa Sabaya ndiye Mungu wa Mbowe, ila Sabaya alichagua kumtumikia Shetani na akaacha kufuata njia za kimungu katika cheo alichokuwa nacho, kwa hyo usijaribu kuwafananisha Hawa wawili Ni watu tofauti!!

Pia Jambo usilolijua au umejisahaulisha ni kwamba Sabaya ni mmoja Kati ya watu waliotengeneza kesi ya kumbambikia Mbowe!
 
Na msiombe akawa Mimi! Teh! Teh! Teh! Teh!
 
Hii kesi KILA wakibiringita inawaacha uchi,
 
Usijali Mkuu kwani wao wana Polisi DPP na Mahakama Sisi tunae Mungu Muumba wa Yote. Tulimlilia na akatenda Jambo Kwa mwendazake. Hata hili nalo atatenda jambo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…