Kesi ya uchaguzi Kilwa kusini ni full kuchakachua

ajabu

Member
Jul 14, 2011
38
3
Kesi ya uchaguzi inayo endelea hapa kilwa imesogezwa mbele tena hadi tarehe 19mwezi huu,inanyo onyesha ccm wamefanya mambo yetu yaleee ili uchaguzi urudiwe tena wampokonye mbunge wa upinzni alie shinda kwenye uchaguzi kiti cha ubunge
 
mbunge wa upinzani kutoka chama kipi mkuu.
 
Matokeo ya uchaguzi msimu uliopita hapa jimbo la kilwa kusini mgombea wa ubunge kwa tiketi ya chama cha wananchi CUF aliibuka mshindi, ajabu ni kuwa baada ya bwana Suleiman Bungala maarufu ***** kuibuka mshindi mgombea kwa tiketi ya ccm anadai eti CUF wamechakachua matokeo na uchaguzi ulikuwa na mizengwe, akaenda kufungua kesi, sasa kesi hiyo kila siku vigogo wa ccm akiwepo Nape Nnauye wanatangaza hukumu kuwa wamesha shinda kwa madai kuwa serikali ni yao mahakimu ni wao na wanatekeleza ilani ya ccm na hivi karibuni alikuja kilwa na akamtukana saana mbunge wetu huyu tumerekodi sauti na video nitaziweka hewani muone na kusikia,hii ndiyo sababu nawaambia kesi ya uchaguzi kilwa ni full kuchakachua
kuwaleteeni ripoti hii ni mimi Mlokole wa Ukweli aka Ajabu toka Kilwa
 
Back
Top Bottom