Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 25,791
- 35,775
Natanyahu ana ICC Arrest warrant,ila hawasemi chochote,tena kuna Wayahudi weusi pia wa huko Bongo,walikua wanamsifu Natanyahu kua ni noma na ICC haimuwezi,leo hii hao wayahudi weusi baada na wao kufikwa na matatizo,wanaililia hiyo hiyo ICC waliyoiponda!Wazungu ni wanafiki na pia ni watu wa double standard sana. Usiwaamini hata kidogo.
Moja ya Comment bora jf leo 19/10/2026Wazungu ni wanafiki na pia ni watu wa double standard sana. Usiwaamini hata kidogo.
Gentleman,Mwishoni mwa mwaka 2025 na mwanzoni mpaka katikati ya mwaka 2026 kulikuwa na suala la Samia kuhitajika ICC kujibu tuhuma zinazomkabili.
Mwanzoni tulikuwa tunapata updates za nini kinachojiri mara kwa mara ila kwa sasa imepita muda mrefu i.ekuwa kimya sana.
Inasikitisha zaidi kuona watanzania wamekubali kuongozwa na Samia kitu ambacho mwanzoni tulipinga kwa nguvu zote kulingana na mwaka jana kutokuwa na uchaguzi bali uchafuzi .
Wenye taarifa zozote watujuze wengine (watanganyika) tunaumia kuona samia anapeta tu kwenye ikulu yetu .
Gentleman,Wazungu ni wanafiki na pia ni watu wa double standard sana. Usiwaamini hata kidogo.
Wanataka wamkamate kwa kumpeleka Ayatollah kwa Allah?Natanyahu ana ICC Arrest warrant,ila hawasemi chochote,tena kuna Wayahudi weusi pia wa huko Bongo,walikua wanamsifu Natanyahu kua ni noma na ICC haimuwezi,leo hii hao wayahudi weusi baada na wao kufikwa na matatizo,wanaililia hiyo hiyo ICC waliyoiponda!
Unapopigania haki,hutakiwi kuweka ubaguzi wa aina yeyote ile coz matatizo huzunguka,leo kwa yule na kesho ni kwako.
Asaivi tumehamia kwenye picha za chivayoWenye taarifa zozote watujuze wengine (watanganyika) tunaumia kuona samia anapeta tu kwenye ikulu yetu
ICC huwa inafanya mambo yake polepole sana.Mwishoni mwa mwaka 2025 na mwanzoni mpaka katikati ya mwaka 2026 kulikuwa na suala la Samia kuhitajika ICC kujibu tuhuma zinazomkabili.
Mwanzoni tulikuwa tunapata updates za nini kinachojiri mara kwa mara ila kwa sasa imepita muda mrefu i.ekuwa kimya sana.
Inasikitisha zaidi kuona watanzania wamekubali kuongozwa na Samia kitu ambacho mwanzoni tulipinga kwa nguvu zote kulingana na mwaka jana kutokuwa na uchaguzi bali uchafuzi .
Wenye taarifa zozote watujuze wengine (watanganyika) tunaumia kuona samia anapeta tu kwenye ikulu yetu .
Au wameshapewa vitalu?ICC huwa inafanya mambo yake polepole sana.
Kwa serikali hii chochote kinawezekana wala usishangaeAu wameshapewa vitalu?
😅😅😅Tulisema ile iliyo kweli watu wakadhani tuko upande wa madhalim kumbe tulikua tunaongea uhalisia:
View attachment 3693993
Inasikitisha sana kuona yule bibi bado anapeta.Wazungu ni wanafiki na pia ni watu wa double standard sana. Usiwaamini hata kidogo.
Dogo hunaga akiliGentleman,
kwamba leo akina Ted Cruz wa seneti ya Marekani na David McAllister wa EU ni wanafiki?
kwahiyo yale mapicha picha mliokua mnapiga nao kwenye corido za seneti na bunge la EU, na kuyatuma humu jukwaani ulikua ni utapeli wenu dhidi ya wadau wa JF, right?
kwamba wazungu ni wanafiki, Chadema ni matapeli, right?
Sio kila taifa lipo tayari nyeti zake ziwe wazi kama za kuku akinya!Mwishoni mwa mwaka 2025 na mwanzoni mpaka katikati ya mwaka 2026 kulikuwa na suala la Samia kuhitajika ICC kujibu tuhuma zinazomkabili.