Kesi ya Saileth Vithlani wa kashfa ya Rada

Kesi ya Saileth Vithlani wa kashfa ya Rada

Status
Not open for further replies.
WEWE MS huyo Membe wako ni kiraza tu. Mtu mwenye akili timamu atakubaliana na BEA kugoma kurejesha fedha hizo nchini kwa sababu zinataliwa. Hadi hapo serikali itakapomkamata Chenge ndipo fedha hizo zinaweza kurejeshwa nchini.
 
dUHU. LEO MEMBE AMEWAPAKA MATOPE SANA WALIOTUIBIA PESA ZETU HASA KUHUSU KWANINI PESA ZA WALIPA KODI ZILIZOIBWA NA UENGEREZA KUHUSU RADA. LKN PIA KUTUPANGIA HIZO PESA NANI WA KUMKABIDHI .
AMEWATAKA WANANCH WASIMAME IMARA KUDAI HAKI ZAO KUTOKA UENGEREZA
LKN TAYARI MH ZITTO AMETAKA HOJA HIYO IJADILIWE BUNGENI NA KUKUBALIWA NA SPIKA
HIII SI KUMTEGA EL, CHENGE NA RA?
LKN PIA

Hakikisha unatuma email yako pia. Tumeshatuma nyingi kupitia hii thread: https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...ya-fedha-za-radar-wasipewe-tena-serikali.html
 
pesa hazijaibiwa na chenge,serikali ya tanzania ndiyo ilyojiibia kwa sababu ilishindwa kumwajibisha waziri wake leo anakuja membe na kutuambia ujinga.
mimi naona serikali ya uingereza ifanye inachoweza ili hizo hela ziwafikie watanzania bila kupitia mikopno ya serikali.
hata kama ni kuidhalilisha imeshadhalilika sana na kujidhalilisha yenyewe.
membe urais haupatikani kwa urahisi namna hiyo wezi mmekaa nao miaka yote leo anatuletea ujinga wake wa ukimbilia ikulu.
na wewe malaria ulichotumwa huku sisi tunakijua wewe ni mdini sana na hushabikiaji mtu kama si muislamu,huyu jamaa tunamjua ni mwislamu aliyesoma seminari akabadili jina kwa hiyo kama ni urais tunampa kwa sababu ya uwezo wake na si kama unavyofikiri.
 
Waziri wa mambo ya nchi za nje na ushirikiano wa kimataifa, ameitaka kampuni ya B.A.E system ya uingereza ilete bakaa yetu ya Rada moja kwa moja serikalini na siyo kuzielekeza kwenye NGO'S.
  • Amedai kufanya hivyo ni kuidharirisha Serikali ya Tanzania.
  • Kuruhusu B.A.E system kuamua juu ya salio hilo ni kuruhusu WIZI mwingine.
  • Wameagizwa Job Ndugai, Mussa Zungu, Angela Kairuki na John Cheyo wawaambie bae system kuwa watanzania wanataka bingo zao na hawana utani.
  • Walichokubaliana na serikali ya Uingereza ni kuwa mapene hayo yatanunua:- vitabu 4000 kwa ajili ya wanafunzi wa s/msingi, vitabu 192,000 vya kufundishia kwa ajili ya walimu s/msingi, madawati 200,000-s/msingi, nyumba 1,196 za walimu vijijini-s/msingi na vyoo 200,000-s/msingi. Na kama bae system hawatasikia kauli yetu bora pesa hizo ZIPOTEE. Kudadadekiiii.
Mhe. Zitto Z Kabwe ameomba kauli hiyo ijadiliwe bungeni na Mama yetu Makinda kakubali na itapangiwa muda muafakaaa..

My take:- Sijui kutatokea nini jamani, nawasilisha.
 
hana lolote huyo, nyoka wa mdimu
 
Nyumba za walimu 1100 za walimu? kumbe chenji yetu nyingi eeh?
 
Hili ni la Membe au Mkulo? Membe angetoa tamko kuhusu Libya. Tunamuunga mkono Gadaffi au NATO na waasi?
 
Hili ni la Membe au Mkulo? Membe angetoa tamko kuhusu Libya. Tunamuunga mkono Gadaffi au NATO na waasi?

Kumbe maswala ya kimataifa kama hayo yanayohusu BAE/Uingereza ni maswala ya Mkulo? Kweli JF ni kisima cha elimu hili nilikuwa silifahamu.
 
Kwa hiyo hivi sasa ni wenu ndiyo maana mnataka nchi iwe ya kiislamu?
Mkuu achana na mambo ya udini. Yote tisa Kumi ni Avator yako inaniacha hoi kweli kweli. Sasa hilo likitu lililochomoza hapo mbele ndio nini?
 
  • Thanks
Reactions: LAT
Wakuu heshima kwenu wote!

Nimekuwa nikitafakari juu ya mwendelezo wa mambo haya matatu na kushindwa kupata majibu yanayo jitosheleza na kupelekea kuomba kuelimishwa vizuri kwani naamini hapa hakuna jambo ambalo linaweza shinda wanaJF.

1. Je kazi ya bunge kwa maana ya kutunga sheria na kuisimamia serekali inatekelezeka kwa sasa kufuatana na mwendelezo wa mijadala inayoendelea bungeni ama imekuwa kinyume chake? kwani nimekuwa nikiwasikia baadhi ya wabunge wakilalamikia hili.

2. Suala la Rada naomba tukumbushane mambo machache yaliyojitokeza wakati huo mpaka wakati wa sasa:

(a) Serikali ilsema nini wakati ilivyoambiwa kuwa tumeuziwa Rada kwa bei ya kuruka?

(b) Nimesikia kuwa kuna wajumbe wametumwa kwenda kufanya majadiliano yanayohusu kurudishiwa kiasi fulani cha fedha,hivi tunaonekanaje
Watanzania kwenye jamii za kimataifa? hivi hatujidhalilishi kushupalia kitu ambacho huko nyuma kilikataliwa?

(c) Je watanzania walioshiriki issue hii wanajisikiaje? na sheria zetu zinasemaje kuhusu issue hii ama sheria zetu zinafanya kazi kwa walalahoi peke yake?

3. Mitambo iliyokuwa ya Richmond/Dowans:

(a) Mitambo hii tuliambiwa habari yingi sana, Je habari hizo bado zinabaki kama tulivyoambiwa?

(b)Mitambo hiyo kwa sasa inazalisha ummeme utakao tumiwa na taifa gani? Hivi kweli sisi kama nchi tunaweza kataa kitu cha aina ileile na baadaye tunakubali kukichukua kwa kuwa aliyekileta ni mtu kutoka taifa kubwa.

(c) Hapa naomba nieleweke vizuri sina nia ya kufanya utetezi wa aina yeyote ila na jaribu kuangalia suala zima la maadili ya taifa letu na kujaribu kufikiria kuwa hivi sisi kama taifa tunaonekanaje na mataifa mengine?

Mwisho narudia tena naomba kuelimishwa kama kweli sisi kama taifa tunafanyaje maamuzi yetu juu ya mambo kama haya kwa mtizamo wangu ni kwamba masuala haya yanatia doa sana na sijui tufanye nini kuondokana na mambo haya ambayo wakati wa zamani hatukua nayo.

Naomba kuwasilisha.
 
Jamii forum kweli kiboko, yaani Membe keshaona ule moto uliowashwa hapa jana kwenda kwa BAE kutopitishia marejesho kwa mwizi mwenzi wao, yaani serikali ya Tz, utamtoa kajasho kembamba atapotembelea anga za majuu. Sasa kajisalimisha kituoni mwenyewe, ili polisi(bunge) wamjadili.
Ha ha haaa... Kweli vita hii ya panzi, kunguni tujiandae kuvuna.
Hata hivyo nina wasiwasi, Speaker atakuwa tayari kuwasaliti mafisadi waliomleta kitini kweli?
.
 
Malaria Sugu.... I tell you and your Hero membe that he wont win it, it is too late. WE need our money back without any conditions. Hatopata Urais na mbaya zaidi hata hiyo post aliyonayo after 2015 hatoipta tena. anachefua Mh.Membe. hiyo kazi awaachie Chadema wataishughulikia kisawasawa
 
kina chenge wanastahili kuwajibishwa kwa kuliingizia taifa hasara na aibu ya aina hii
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom