Kesi ya Saileth Vithlani wa kashfa ya Rada

Kesi ya Saileth Vithlani wa kashfa ya Rada

Status
Not open for further replies.
Unaumwa sana wewe kwan jk, igp, jaji mkuu, makamu wa rais, na mawaziri wengine sio waislamu? Na kwa maana hii unataka 2015 angombee muislamu na huo hautakuwa mfumo uislamu?

Mnajidanganya sana ndo maana nasikia hata ktk chuo kikuu kimoja hapa nchini non christians mliendesha kongamano la pasaka wakati ktk historia ya imani yenu hamna pasaka na kuwaeleza wanaosoma hapo kuwa chuo hicho kimeanzishwa kuinua non christians kwa ajili yakuwainua wao nakuwa ud inamilikiwa na christians. Mmeleta mgogoro sana ktk huu mtazamo wenu
 
Jamani, hii redio ya CCM inatia aibu. Dakika 5 zilizopita Waziri Membe alikuwa akitoa mwendelezo wa Kashfa ya RADA na malipo yake toka BA. Ni pale Zito alipoomba mwongozo wa Spika ili hoja ijadiliwe na Bunge. Ghafla TBC Taifa wakakata Matangazo. Inachukiza na kushangaza.

tumesha izoea, ni kama jana werema alivyokua anazima mic bungeni, ni upumbavu kabisa......................................
 
siku zinavyoenda naelekea kukosa imani na JF members. watu badala ya kujadili hoja wanaanza matusi, mara siasa za vyama, mara udini. Hivi kweli akili zetu ni finyu hivi mpaka hata mambo ya utaifa tuanze kuyajadili kwa kutumia uchama, udini, uhuni nk. Lazima tubadilike tujadili kama watanzania ambao wana uchungu na nchi yao.
 
hizi comment ndio zile zile ambazo kweli nashindwa kuzielewa kama mtu anaendeleza udini mimi simuelewi.
Unaumwa sana wewe kwan jk, igp, jaji mkuu, makamu wa rais, na mawaziri wengine sio waislamu? Na kwa maana hii unataka 2015 angombee muislamu na huo hautakuwa mfumo uislamu?

Mnajidanganya sana ndo maana nasikia hata ktk chuo kikuu kimoja hapa nchini non christians mliendesha kongamano la pasaka wakati ktk historia ya imani yenu hamna pasaka na kuwaeleza wanaosoma hapo kuwa chuo hicho kimeanzishwa kuinua non christians kwa ajili yakuwainua wao nakuwa ud inamilikiwa na christians. Mmeleta mgogoro sana ktk huu mtazamo wenu
 
Hao CCM wanashinda hapa JF wanajua nini tunasema muda wote na Membe kajadiliwa sana hapa now anataka kupata kitu kingine cha kumweka kwenye ramani ndani ya Nchi. Wacha tuone itakuwaje .
 
Hii ishu ikija kuisha bungeni kuna hatari ya mtu kutembelea magoti,ila CDM watch out make hizi hoja zisije kuwachanganya na kuwadivert mkapotezewa mda wa kujikita vizuri juu ya hoja zingine za msingi kama katiba

inaweza kuwa nzuri lakini pia ikawa mbaya pale itakapopewa priority zadi ya katiba na hvyo kureduce mda wa kujadiri katiba kwa kina
 
acha hayo chadema.nyinyi mtakuwa mnatusaidia bungeni kuchangamsha miaka yote. Ikulu mtaisikia jina tu. Lkn kwa hili la chenge na membe ni wazi chenge atatafuta mlango wa kutokea
Rushwa ya rada na Chenge ni sawa na chanda na pete.Sababu alizotoa za kukutwa na dola laki tano zinaacha maswali mengi kuliko majibu.Chenge hata afanye nini kwenye hili bado wingu litatanda juu yake tu, ila kinachomsadia ni alikuwa attorney general kwenye nchi inayonuka rushwa, wakimwaga mboga na yeye anaweza kuamua kumwa ugali kwenye mwaswala mengine.

Kinachofanyika ni kujaribu ku unsettle him mentally labda waamue kutumia ubabe lakini kutokana na hali ya kisiasa ilivyo sasa hivi nchini it will make them more weaker than ever.
 
Hii inaniaminisha kuwa viongozi wengi wa kitaifa ni members wa JF, hii issue ilikuwa ya moto sana humu jukwaani jana....

Zitto ameomba hii issue ijadiliwe bungeni isipite tu hivihivi, speaker amekubali lakini hajasema ni lini itajadiliwa

Duh!! hii itakuwa moto mkali, sijui vijisenti atajificha wapi.

labdaspika mwingine sio binti kiroboto
 
Waziri wa mambo ya nje, Membe, ametoa tamko kali la serikali kuwa BAE ya Uingereza imekiuka makubaliano ya kuirudishia Tanzania fedha ilizokwapua kutoka katika mauzo ya rada ambapo walikwapua dola milioni 29 na ikaubaliwa zirudishwe kwetu lakini wao wamekataa wanataka wazipe NGOs za kiingereza zifanyazo kazi hapa kwetu. Membe anasema hii ni dharau kubwa kwa serikali yetu na afadhali tuzikose hizo hela lakini tubaki na heshima yetu kwani BAE waliwalipa wamarekani dola 400 milioni bila masharti yoyote ingawa mazingira yote yako sawa

Marekani hela zitatumika kwa utaratibu unaoeleweka. Hapa tz watatumia hizo hela kununua t-shirt na kanga kwa ajili ya 2015. BAE pelekeni mkakoona kunafaa - wezi hawa, hawafanya hata uchunguzi wa pamoja na kupewa majina ya suspects!.
 
Mimi siamini kwamba Membe anamtega yeyote, ukweli ni kwamba bwana huyo anao upeo mdogo; Suala ambalo alioni ni kwamba anapovaria njuga hayo malipo ya rada na kuwaita BAE system wezi bila ya kubainisha ni nani hasa ndani ya serikali ya Tanzania kampuni hiyo ilishirikiana naye katika wizi huo, ni sawa na kusema serikali nzima ya Tanzania ilishiriki katrika wizi huo na ndiyto maana haiwezi kuaminiwa kupewa tuzo hiyo
 
wakati Membe akitoa hoja hiyo, iliyoitwa Hoja za Serikali, nilimuona Chenge aking'aa macho na kujitafuna. Jitu hili Mungu kalinyima hata aibu!!
 
membe ndo anaetafuta cheap popularity......anaposisitiza watanzania tupiganiehaki yetu kwa mbinu gani?????yasije kumrudia akiambiwa awataje waliotulostisha ataweza??????mbona mapesa mengine hatuambiwi yanatumikaje??????za EPA hata gavana NDULU hajui.....je za BAe nani atajua??????MEMBE MZUSHI TUUU......arudi nae kwenye kashfa ya pesa za MEiss,,,,,,ccm hawa siwaamin
2015 presidency races are daily taking a new dimension!
 
Hana jipya huyu huko MTAMA hata vsima vimemshinda.....nae anataka kua sinbad wa safari
Hao CCM wanashinda hapa JF wanajua nini tunasema muda wote na Membe kajadiliwa sana hapa now anataka kupata kitu kingine cha kumweka kwenye ramani ndani ya Nchi. Wacha tuone itakuwaje .
 
BAE ni wezi waliopanga mipango na viongozi wa serikali kuuibia Tanzania, sasa iweje leo mwizi wa ulaya arudishe pesa kwa mwizi wa Tanzania wakati pesa ni ya watanzania, haya ni makosa makubwa.

Get your facts right. Anayerudisha fedha Tanzania (lakini kupitia NGOs) ni serikali ya Uingereza. BAE ni suppliers wa hiyo Rada, na ndiyo wezi wenyewe, wakishirikiana na hawa jamaa ambao wanadai waonyeshwe ushahidi kama waliiba ili wajiondoe CCM. Let it be tabled and debated by the august body.
 
membe ndo anaetafuta cheap popularity......anaposisitiza watanzania tupiganiehaki yetu kwa mbinu gani?????yasije kumrudia akiambiwa awataje waliotulostisha ataweza??????mbona mapesa mengine hatuambiwi yanatumikaje??????za EPA hata gavana NDULU hajui.....je za BAe nani atajua??????MEMBE MZUSHI TUUU......arudi nae kwenye kashfa ya pesa za MEiss,,,,,,ccm hawa siwaamin

Halafu tnamcheka MS kumbe wote vichwa ni vile vile. Ukweli ni kwamba fedha hizi lazima zirudi na zitarudi kwa matakwa ya aliyeibiwa na si vinginevyo. Hiyo unayoiita kashfa za MEISS itakushangaza!
 
Ivi aliyepeleka fuko la ela kwenda BAE ni nani? Ebu tumtambue jizi kubwa ndo tujadili ela irudije.ila kama majizi yaliyokula %kwa kuiuza nchi kwa b.a.e awawajibukike!
 
siku zinavyoenda naelekea kukosa imani na JF members. watu badala ya kujadili hoja wanaanza matusi, mara siasa za vyama, mara udini. Hivi kweli akili zetu ni finyu hivi mpaka hata mambo ya utaifa tuanze kuyajadili kwa kutumia uchama, udini, uhuni nk. Lazima tubadilike tujadili kama watanzania ambao wana uchungu na nchi yao.
Tatizo tulio wengi hatujuwi kama tanzania kunadini zadi ya 1 nitawaomba ni post hapa jukwa la siasa dini zote zilianza lini mitume wake ni akinani wengi wanajuwa ukilisito na madhehebu yake usilam na madhehebu yake hizo dini msizozijuwa wanahaki tz inakela usilam v ukilisit dini nichanzo cha amani mnaabudu nini? Kama siunafiki muisilam mkilisit kuhubili machafuko udini
 
BAADA ya kutulia kwa muda, sakata la ununuzi wa rada, limeibuka tena na safari hii kwa sura tofauti, baada ya wabunge wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuazimia kulijadili bungeni katika moja ya vikao vyake vinavyoendelea.Hoja hiyo jana ilifikishwa bungeni na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe ambaye alisoma kauli ya serikali dhidi ya hatua ya Kampuni ya BAE Systems ya Uingereza kutoa fedha za tozo ya rada kwa asasi za kiraia.

"Tanzania ni nchi maskini, lakini haiko tayari kudharauliwa kiasi hicho kwa serikali yake, tasisi zake na asasi zake kutoaminiwa. kuruhusu hilo lifanyike ni kuruhusu kuibiwa kwa mara ya pili,"alisema Membe.Membe alisema kitendo cha BAE kutaka kuzipeleka fedha hizo kwenye asasi za kiraia nchini Uingereza ili zije kufanyia shughuli hapa nchini ni kinyume na makubaliano yaliyofikia kati ya Serikali ya Tanzania, SFO na serikali ya Uingereza.

Baada ya taarifa hiyo, Mbunge wa Kigoma Kaskazini Zitto Kabwe alisimama na kuomba mwongozo wa spika na kusema," Mheshimiwa Spika, tunaomba taarifa hiyo ya serikali ijadiliwe bungeni."Baada ya kusema hivyo takriban wabunge wote walisisimama kuuuga mkono kitendo kilichomfanya Spika Anne Makinda kusema atatafuta fursa kwa ajili ya kujadili suala hilo bungeni.

Source: Mwananchi

My take:
This radar change has absolutely nothing to do with recovering the money on behalf of ordinary Tanzanians, but has everything to do with 2015. Membe alikuwa wapi siku zote asiseme uchunguzi ufanyike ili washiri kwa upande wa Tanzania wachukuliwe hatua. Mbona ang'ang'ania hela bila uwajibikaji wa wale wote waliofanikisha dili? Na hao wabunge waliounga mkono hoja kwa kishindo wamejuwa lini Tanzania imelanguliwa kwenye ununuzi wa Radar? Na wamefanya nini tangu walipogunduwa ulanguzi huo?

Kwa upande mwingine nahisi fitna za kuwatoa kafara mapacha watatu zimekuwa ngumu hivyo wazee wa ‘kuzunguka mbuyu' wamepata kona nyingine. Wataanza na rada kujadiliwa bungeni na baadae tunaweza kuona mizimu mingine ikifufuliwa lengo likiwa kupata mtaji wa kumtoa mtu kwenye matumaini ya 2015!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom