Kesi ya Saileth Vithlani wa kashfa ya Rada

Status
Not open for further replies.
Bribery Newsflash: UK Court decision on BAE Systems Plc settlement

22 December 2010

The Serious Fraud Office has demonstrated its ability to enter into flexible settlement agreements with organisations accused of corruption. Today, Mr Justice Bean, sitting at Southwark Crown Court, provided the long awaited decision on the penalty for BAE Systems plc over payments it made to a middle man in Tanzania.
The SFO's investigations focused on allegations that BAE paid bribes to win contracts from several nations in Africa and Eastern Europe including Tanzania, the Czech Republic, Romania and South Africa. In 2001, Tanzania purchased a military air traffic control system from BAE. Suspicions were aroused because Tanzania did not have military aircraft. In January 2007, it was reported that $12.4m had been paid into the Swiss bank account of a middle man involved in the Tanzanian deal by a BAE subsidiary, Red Diamond. The payment amounted to approximately a third of the value of the contract.
In February 2010, as part of a wider settlement coordinated by the UK SFO and the US Department of Justice, BAE agreed to plead guilty in the UK to one offence of failing to keep proper accounting records contrary to Section 221 of the Companies Act 1985 and pay £30 million comprising a financial order to be determined by a Crown Court judge with the balance paid as an ex gratia payment for the benefit of the people of Tanzania. The fine imposed by the court today was £500,000. It is expected therefore, that BAE will pay £29.5 million as an ex-gratia payment to Tanzania. In return, the SFO agreed not to investigate or pursue criminal proceedings against BAE or its subsidiaries for any conduct prior to the date of the settlement agreement.
Commentary

The SFO has faced criticism for its decision to prosecute BAE for a 'books and records' offence as opposed to a more serious corruption offence. Mr Justice Bean acknowledged the court's lack of power to set aside or challenge the basis for the settlement agreement. In particular, it was acknowledged that it was for the SFO and not the Court to decide who should be prosecuted and for what offences. Today's judgment demonstrates that the prosecutor continues to have discretion as to the charges that businesses will face in relation to inappropriate payments. It also reinforces the SFO's flexibility to deal more leniently with organisations which 'self-report' a transgression. That leniency can include the SFO agreeing not to pursue criminal investigations into other historic issues that might exist which have not been self-reported.

Ndugu zangu Chenge amepona alivuta pesa za BAE lakini hakuna wa kumshtaki maana hata jaji wa UK amesema itakuwa ngumu
 
Hii inaniaminisha kuwa viongozi wengi wa kitaifa ni members wa JF, hii issue ilikuwa ya moto sana humu jukwaani jana....

Zitto ameomba hii issue ijadiliwe bungeni isipite tu hivihivi, speaker amekubali lakini hajasema ni lini itajadiliwa

Duh!! hii itakuwa moto mkali, sijui vijisenti atajificha wapi.
 
  • Thanks
Reactions: EMT
The whole saga is ' a big nönsense'.No one should blame the other,every one of them has a role badly played!
 
dUHU. LEO MEMBE AMEWAPAKA MATOPE SANA WALIOTUIBIA PESA ZETU HASA KUHUSU KWANINI PESA ZA WALIPA KODI ZILIZOIBWA NA UENGEREZA KUHUSU RADA.
HIII SI KUMTEGA EL, CHENGE NA RA?
LKN PIA
Kwa hiyo yeye sasa anajifanya mahakama!!huyu jamaa ana jazba na uwezo wake wa kuongoza ni mdogo sana!!
 
dUHU. LEO MEMBE AMEWAPAKA MATOPE SANA WALIOTUIBIA PESA ZETU HASA KUHUSU KWANINI PESA ZA WALIPA KODI ZILIZOIBWA NA UENGEREZA KUHUSU RADA.
HIII SI KUMTEGA EL, CHENGE NA RA?
LKN PIA

BAE ni wezi waliopanga mipango na viongozi wa serikali kuuibia Tanzania, sasa iweje leo mwizi wa ulaya arudishe pesa kwa mwizi wa Tanzania wakati pesa ni ya watanzania, haya ni makosa makubwa.
 
Jamani, hii redio ya CCM inatia aibu. Dakika 5 zilizopita Waziri Membe alikuwa akitoa mwendelezo wa Kashfa ya RADA na malipo yake toka BA. Ni pale Zito alipoomba mwongozo wa Spika ili hoja ijadiliwe na Bunge. Ghafla TBC Taifa wakakata Matangazo. Inachukiza na kushangaza.
 
Waziri wa mambo ya nje, Membe, ametoa tamko kali la serikali kuwa BAE ya Uingereza imekiuka makubaliano ya kuirudishia Tanzania fedha ilizokwapua kutoka katika mauzo ya rada ambapo walikwapua dola milioni 29 na ikaubaliwa zirudishwe kwetu lakini wao wamekataa wanataka wazipe NGOs za kiingereza zifanyazo kazi hapa kwetu. Membe anasema hii ni dharau kubwa kwa serikali yetu na afadhali tuzikose hizo hela lakini tubaki na heshima yetu kwani BAE waliwalipa wamarekani dola 400 milioni bila masharti yoyote ingawa mazingira yote yako sawa
 
Jamaa anataka kutumia hili sakata kujipanga kwa urais wa 2015, imekula kwake....

Eti anadai kama BAE watashikilia msimamo wao wa kuwapa pesa hizo NGOs, basi serikali ikatae na iwe tayari kukataa pesa hizo ili kulinda heshima ya nchi,...huyu ndiyo mnataka awe rais wa taifa letu, kweli?
 
dUHU. LEO MEMBE AMEWAPAKA MATOPE SANA WALIOTUIBIA PESA ZETU HASA KUHUSU KWANINI PESA ZA WALIPA KODI ZILIZOIBWA NA UENGEREZA KUHUSU RADA. LKN PIA KUTUPANGIA HIZO PESA NANI WA KUMKABIDHI .
AMEWATAKA WANANCH WASIMAME IMARA KUDAI HAKI ZAO KUTOKA UENGEREZA
LKN TAYARI MH ZITTO AMETAKA HOJA HIYO IJADILIWE BUNGENI NA KUKUBALIWA NA SPIKA
HIII SI KUMTEGA EL, CHENGE NA RA?
LKN PIA


Membe alifoji jina ili akasome shule za mission. ni muislam pure.
 
Wakate matangazo wasikate hapa ngoma inogile tu. Hapa Chenge na CCM yake hawatoki! Kwanza wenyewe kwa wenyewe wanauana, sisi kazi yetu itakuwa ni kuokota Mizoga tu.

Endelea tu Mzee wetu, Joka la Mdimu kuchokoza mada bila kujua kwamba mnajiua wenyewe!
 
Membe ni wazi pale amewatega akina kundi la EL,RA,CHENGE

Marelia Sugu unampigia debe ndugu Membe, je? unajuwa kwamba ndugu Membe ni mkristo tena ni mkatoliki? je huyu ametumwa na kanisa katoliki? au leo hauogopi tena mfumo kristo?
Hapa ndio utaona madhara kuanza chuo kabla ya shule.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom