wewe unauliza maswali ya kitotoHuko alikokuwa anazunguka na kupokonya pesa za watu hapakuwa na viongozi wa Serikali wa maeneo hayo au alikuwa akienda kwa kofia ipi?
Kwa hiyo wewe unataka kutuambia kwamba Makonda hakuvamia Clouds TV? Elewa pia kwamba Kubenea hajapeleka mahakamani suala la Clouds pekee, kapeleka mambo mengi yanayohusu matumizi mabaya ya madaraka. Unapata faida gani kutetea upuuzi wa mhalifu?Mbona Clouds TV wao hawasemi kama walivamiwa na Makonda badala yake anayekomalia ni Kubenea?
Yeye ni tajiri wa Tanzanite hata Laiza anasubiri 🤣 🤣. Huyu muhuni Tajiri Tanzanite kipindi Mbowe akiwa kizimbani alikuwa anatoa meno yote 32 kwa furaha akitamani kuona Jaji anatangaza kifungo kabla hata Kingai hajahojiwa. Alikuja kuumia sana baada ya Mbowe na wenzake kuachiwa huru, akapotea JF for a while. Leo ndo amejitokeza na uzi huu akililia lile jambazi lililopo Kisoongo nalo lipewe msamaha.... Mahakama imethibitisha uhalifu wake; who are you?
Kuna tofauti kati ya ujambazi na utapeli. Wizi wa Richmond, EPA nk ni aina ya wizi wa ujanja-ujanja, haugusi mwili wa mtu. Wizi wa Ole Sabaya ni wa kutumia nguvu (Ujambazi).
Kama serikali isingemchukulia hatua, ingekuwa inabariki uhalifu wa kidola.
Vv
hivi kuna utawala wa visasi kuzidi ule uliopita?Utawala ulipo sasa ni wa VISASI na hautadumu kamwe.
Clouds Tv walisema bila kupepesa macho kuwa Makonda aliwavamia, na Kamati aliyounda Nape na ilithibitisha hilo. Au umeanza kufuatilia habari mwaka huu?Mbona Clouds TV wao hawasemi kama walivamiwa na Makonda badala yake anayekomalia ni Kubenea?
haya masalia ya mwendazake ni shida, yamejawa na chuki na visasi ni balaaYeye ni tajiri wa Tanzanite hata Laiza anasubiri 🤣 🤣. Huyu muhuni Tajiri Tanzanite kipindi Mbowe akiwa kizimbani alikuwa anatoa meno yote 32 kwa furaha akitamani kuona Jaji anatangaza kifungo kabla hata Kingai hajahojiwa. Alikuja kuumia sana baada ya Mbowe na wenzake kuachiwa huru, akapotea JF for a while. Leo ndo amejitokeza na uzi huu akililia lile jambazi lililopo Kisoongo nalo lipewe msamaha.
Hapo vip!!
Kwa muda mrefu nimekuwa nafuatilia tuhuma zilizo tengeneza hii kesi ya Sabaya ila nimeonea kama sio tuhuma nzito kuzidi tuhuma zote ambazo tumeshawahi kuzisikia kwa viongozi mbalimbali ndani ya nchi hii, ila kwa maoni yangu kama kweli serikali imeamua kuwashughulikia viongozi wanaotumia madaraka vibaya basi isingeishia kwa Sabaya tu, ningetarajia kuona viongozi wengi wakiburuzwa mbele ya mahakama...kuanzia skendo za Richmond, Escrow, Meremeta n.k
Ila kinachoonekana ni chuki iliyopo baina ya viongozi wenyewe dhidi ya wengine...huku anayemtuhumu mwingine in fact wala sio msafi sana ukimlinganisha na anayemtuhumu ni aibu.
Lakini zaidi na zaidi katika Chama cha Chadema kama kiongozi wao yeyote, au mwanaharakati wao akituhumiwa au akishtakiwa mahakamani iwe kwa tuhuma za ukweli au za uongo hawataki kujua hilo...wataweka tofauti zao pembeni na kuhakikisha wanazunguka kila kona kumtetea mtu wao.
Ila kwa CCM naona kama ni tofauti kidogo, namini Sabaya angekuwa ni mtu wa Chadema, harakati zingefanyika za kugeuza maneno hata kwa gharama yeyote ili kuaminisha Dunia ya kwamba Sabaya anaonewa... ila huku pengine ni tofauti kabisa, kama ulikuwa ndani ya CCM na ukapotoka katika kutekeleza majukumu ya uongozi na yakatolewa maelekezo ya chuki dhidi yako na kiongozi fulani mwenye chuki dhidi yako, basi utaachwa kama mkiwa ushambuliwe na mbwa mwitu wenye hasira kali juu yako na juu ya chama chako.
Binafsi sipingani na hatua ya serikali kuwawajibisha viongozi wanaotumia madaraka vibaya ila bado sijashawishika na hatua hii kwa sababu naona ina hila ndani yake...na kama ni kweli Serikali inadhamira ya dhati kabisa basi Jamhuri ifunguwe kesi kwa viongozi wote wa CCM waliwahi kutuhumiwa kwa kutumia madara vibaya kwa ufisadi na kadhalika...
Na declare ya kwamba mimi siyo mwanachama yeyote wa kisiasa ila natamani nione ule umoja na mshikamano wa CCM wa miaka ya nyuma ukichukua nafasi.
Binafsi CCM naona ndio chama iliyokizi vigezo vya kuitwa chama cha siasa kwa sababu ni chama ambayo haina mwenyewe.
Kama Makonda aliwavamia mbona hawakutoa taarifa Polisi au uvamizi wa Makonda ni tofauti na vamizi zingine?Clouds Tv walisema bila kupepesa macho kuwa Makonda aliwavamia, na Kamati aliyounda Nape na ilithibitisha hilo. Au umeanza kufuatilia habari mwaka huu?
Wewe kichwa panzi kabisa.Hapo vip!!
Kwa muda mrefu nimekuwa nafuatilia tuhuma zilizo tengeneza hii kesi ya Sabaya ila nimeonea kama sio tuhuma nzito kuzidi tuhuma zote ambazo tumeshawahi kuzisikia kwa viongozi mbalimbali ndani ya nchi hii, ila kwa maoni yangu kama kweli serikali imeamua kuwashughulikia viongozi wanaotumia madaraka vibaya basi isingeishia kwa Sabaya tu, ningetarajia kuona viongozi wengi wakiburuzwa mbele ya mahakama...kuanzia skendo za Richmond, Escrow, Meremeta n.k
Ila kinachoonekana ni chuki iliyopo baina ya viongozi wenyewe dhidi ya wengine...huku anayemtuhumu mwingine in fact wala sio msafi sana ukimlinganisha na anayemtuhumu ni aibu.
Lakini zaidi na zaidi katika Chama cha Chadema kama kiongozi wao yeyote, au mwanaharakati wao akituhumiwa au akishtakiwa mahakamani iwe kwa tuhuma za ukweli au za uongo hawataki kujua hilo...wataweka tofauti zao pembeni na kuhakikisha wanazunguka kila kona kumtetea mtu wao.
Ila kwa CCM naona kama ni tofauti kidogo, namini Sabaya angekuwa ni mtu wa Chadema, harakati zingefanyika za kugeuza maneno hata kwa gharama yeyote ili kuaminisha Dunia ya kwamba Sabaya anaonewa... ila huku pengine ni tofauti kabisa, kama ulikuwa ndani ya CCM na ukapotoka katika kutekeleza majukumu ya uongozi na yakatolewa maelekezo ya chuki dhidi yako na kiongozi fulani mwenye chuki dhidi yako, basi utaachwa kama mkiwa ushambuliwe na mbwa mwitu wenye hasira kali juu yako na juu ya chama chako.
Binafsi sipingani na hatua ya serikali kuwawajibisha viongozi wanaotumia madaraka vibaya ila bado sijashawishika na hatua hii kwa sababu naona ina hila ndani yake...na kama ni kweli Serikali inadhamira ya dhati kabisa basi Jamhuri ifunguwe kesi kwa viongozi wote wa CCM waliwahi kutuhumiwa kwa kutumia madara vibaya kwa ufisadi na kadhalika...
Na declare ya kwamba mimi siyo mwanachama yeyote wa kisiasa ila natamani nione ule umoja na mshikamano wa CCM wa miaka ya nyuma ukichukua nafasi.
Binafsi CCM naona ndio chama iliyokizi vigezo vya kuitwa chama cha siasa kwa sababu ni chama ambayo haina mwenyewe.
Tofautisha, kuwa na Kesi ya kujibu siyo kwamba limethibitika kosa la mtuhumiwa.Pia mahakama ilidhibitisha mbowe anakesi ya kujibu....hapo imekaaje?
Polisi gani sasa hao waliokuwa chini ya Makonda na mwendazake mwenyeweKama Makonda aliwavamia mbona hawakutoa taarifa Polisi au uvamizi wa Makonda ni tofauti na vamizi zingine?
Kipindi hicho kulikuwa hakuna mahakama Tanzania,kwanini hakuburuzwa kama alikuwa anajiamulia yeye pasipo kupewa maelekezo?swali
... Mbona mmemwachia? Case to answer is not a conviction. Kwa aibu mkaondoa shauri haraka!Pia mahakama ilidhibitisha mbowe anakesi ya kujibu....hapo imekaaje?
Mwingine huyu hapaAkina Sabaya wako wengi sana.
Mwingine anagombana na akina GSM huko regent!
Ukitetea uovu unajiweka kwenye nafasi gani wewe mwenyewe?Hapo vip!!
Kwa muda mrefu nimekuwa nafuatilia tuhuma zilizo tengeneza hii kesi ya Sabaya ila nimeonea kama sio tuhuma nzito kuzidi tuhuma zote ambazo tumeshawahi kuzisikia kwa viongozi mbalimbali ndani ya nchi hii, ila kwa maoni yangu kama kweli serikali imeamua kuwashughulikia viongozi wanaotumia madaraka vibaya basi isingeishia kwa Sabaya tu, ningetarajia kuona viongozi wengi wakiburuzwa mbele ya mahakama...kuanzia skendo za Richmond, Escrow, Meremeta n.k
Ila kinachoonekana ni chuki iliyopo baina ya viongozi wenyewe dhidi ya wengine...huku anayemtuhumu mwingine in fact wala sio msafi sana ukimlinganisha na anayemtuhumu ni aibu.
Lakini zaidi na zaidi katika Chama cha Chadema kama kiongozi wao yeyote, au mwanaharakati wao akituhumiwa au akishtakiwa mahakamani iwe kwa tuhuma za ukweli au za uongo hawataki kujua hilo...wataweka tofauti zao pembeni na kuhakikisha wanazunguka kila kona kumtetea mtu wao.
Ila kwa CCM naona kama ni tofauti kidogo, namini Sabaya angekuwa ni mtu wa Chadema, harakati zingefanyika za kugeuza maneno hata kwa gharama yeyote ili kuaminisha Dunia ya kwamba Sabaya anaonewa... ila huku pengine ni tofauti kabisa, kama ulikuwa ndani ya CCM na ukapotoka katika kutekeleza majukumu ya uongozi na yakatolewa maelekezo ya chuki dhidi yako na kiongozi fulani mwenye chuki dhidi yako, basi utaachwa kama mkiwa ushambuliwe na mbwa mwitu wenye hasira kali juu yako na juu ya chama chako.
Binafsi sipingani na hatua ya serikali kuwawajibisha viongozi wanaotumia madaraka vibaya ila bado sijashawishika na hatua hii kwa sababu naona ina hila ndani yake...na kama ni kweli Serikali inadhamira ya dhati kabisa basi Jamhuri ifunguwe kesi kwa viongozi wote wa CCM waliwahi kutuhumiwa kwa kutumia madara vibaya kwa ufisadi na kadhalika...
Na declare ya kwamba mimi siyo mwanachama yeyote wa kisiasa ila natamani nione ule umoja na mshikamano wa CCM wa miaka ya nyuma ukichukua nafasi.
Binafsi CCM naona ndio chama iliyokizi vigezo vya kuitwa chama cha siasa kwa sababu ni chama ambayo haina mwenyewe.
We mpuuzi, jambazi wa kunyanganya watu hela kwa bunduki na kubaka unamfananisha na meremeta?Hapo vip!!