Kesi ya Ole Sabaya ni kiashiria cha chuki na udhaifu mkubwa iliyopo ndani CCM tofauti na CHADEMA

Subiri wiki ijayo magereza zitajaa taarifa ya CAG ikitoka utajua mama ukizingua anakuzingua.

We si umeona kesi zinafutwa ni maandalizi ya kupata nafasi za kutosha za kuwaweka mahabusu wapya.
 
Kuna tofauti kati ya ujambazi na utapeli. Wizi wa Richmond, EPA nk ni aina ya wizi wa ujanja-ujanja, haugusi mwili wa mtu. Wizi wa Ole Sabaya ni wa kutumia nguvu (Ujambazi).

Kama serikali isingemchukulia hatua, ingekuwa inabariki uhalifu wa kidola.

Vv
 
Miesikuelewi kabisa. Unahusianishaje uhalifu wa mtu na chuki kisiasa? Huyo mfanyabiashara anayeshuhudia kuporwa milioni zake naye ni Mwanasiasa?
 
Mbona Clouds TV wao hawasemi kama walivamiwa na Makonda badala yake anayekomalia ni Kubenea?
Kwa hiyo wewe unataka kutuambia kwamba Makonda hakuvamia Clouds TV? Elewa pia kwamba Kubenea hajapeleka mahakamani suala la Clouds pekee, kapeleka mambo mengi yanayohusu matumizi mabaya ya madaraka. Unapata faida gani kutetea upuuzi wa mhalifu?
 
... Mahakama imethibitisha uhalifu wake; who are you?
Yeye ni tajiri wa Tanzanite hata Laiza anasubiri 🤣 🤣. Huyu muhuni Tajiri Tanzanite kipindi Mbowe akiwa kizimbani alikuwa anatoa meno yote 32 kwa furaha akitamani kuona Jaji anatangaza kifungo kabla hata Kingai hajahojiwa. Alikuja kuumia sana baada ya Mbowe na wenzake kuachiwa huru, akapotea JF for a while. Leo ndo amejitokeza na uzi huu akililia lile jambazi lililopo Kisoongo nalo lipewe msamaha.
 
Kuna tofauti kati ya ujambazi na utapeli. Wizi wa Richmond, EPA nk ni aina ya wizi wa ujanja-ujanja, haugusi mwili wa mtu. Wizi wa Ole Sabaya ni wa kutumia nguvu (Ujambazi).

Kama serikali isingemchukulia hatua, ingekuwa inabariki uhalifu wa kidola.

Vv
 
Yeye ni tajiri wa Tanzanite hata Laiza anasubiri 🤣 🤣. Huyu muhuni Tajiri Tanzanite kipindi Mbowe akiwa kizimbani alikuwa anatoa meno yote 32 kwa furaha akitamani kuona Jaji anatangaza kifungo kabla hata Kingai hajahojiwa. Alikuja kuumia sana baada ya Mbowe na wenzake kuachiwa huru, akapotea JF for a while. Leo ndo amejitokeza na uzi huu akililia lile jambazi lililopo Kisoongo nalo lipewe msamaha.
haya masalia ya mwendazake ni shida, yamejawa na chuki na visasi ni balaa
 
Hapo vip!!

Kwa muda mrefu nimekuwa nafuatilia tuhuma zilizo tengeneza hii kesi ya Sabaya ila nimeonea kama sio tuhuma nzito kuzidi tuhuma zote ambazo tumeshawahi kuzisikia kwa viongozi mbalimbali ndani ya nchi hii, ila kwa maoni yangu kama kweli serikali imeamua kuwashughulikia viongozi wanaotumia madaraka vibaya basi isingeishia kwa Sabaya tu, ningetarajia kuona viongozi wengi wakiburuzwa mbele ya mahakama...kuanzia skendo za Richmond, Escrow, Meremeta n.k

Ila kinachoonekana ni chuki iliyopo baina ya viongozi wenyewe dhidi ya wengine...huku anayemtuhumu mwingine in fact wala sio msafi sana ukimlinganisha na anayemtuhumu ni aibu.

Lakini zaidi na zaidi katika Chama cha Chadema kama kiongozi wao yeyote, au mwanaharakati wao akituhumiwa au akishtakiwa mahakamani iwe kwa tuhuma za ukweli au za uongo hawataki kujua hilo...wataweka tofauti zao pembeni na kuhakikisha wanazunguka kila kona kumtetea mtu wao.

Ila kwa CCM naona kama ni tofauti kidogo, namini Sabaya angekuwa ni mtu wa Chadema, harakati zingefanyika za kugeuza maneno hata kwa gharama yeyote ili kuaminisha Dunia ya kwamba Sabaya anaonewa... ila huku pengine ni tofauti kabisa, kama ulikuwa ndani ya CCM na ukapotoka katika kutekeleza majukumu ya uongozi na yakatolewa maelekezo ya chuki dhidi yako na kiongozi fulani mwenye chuki dhidi yako, basi utaachwa kama mkiwa ushambuliwe na mbwa mwitu wenye hasira kali juu yako na juu ya chama chako.

Binafsi sipingani na hatua ya serikali kuwawajibisha viongozi wanaotumia madaraka vibaya ila bado sijashawishika na hatua hii kwa sababu naona ina hila ndani yake...na kama ni kweli Serikali inadhamira ya dhati kabisa basi Jamhuri ifunguwe kesi kwa viongozi wote wa CCM waliwahi kutuhumiwa kwa kutumia madara vibaya kwa ufisadi na kadhalika...

Na declare ya kwamba mimi siyo mwanachama yeyote wa kisiasa ila natamani nione ule umoja na mshikamano wa CCM wa miaka ya nyuma ukichukua nafasi.

Binafsi CCM naona ndio chama iliyokizi vigezo vya kuitwa chama cha siasa kwa sababu ni chama ambayo haina mwenyewe.

Hizi ndo akili za CCM, never think
 
Clouds Tv walisema bila kupepesa macho kuwa Makonda aliwavamia, na Kamati aliyounda Nape na ilithibitisha hilo. Au umeanza kufuatilia habari mwaka huu?
Kama Makonda aliwavamia mbona hawakutoa taarifa Polisi au uvamizi wa Makonda ni tofauti na vamizi zingine?
 
Hapo vip!!

Kwa muda mrefu nimekuwa nafuatilia tuhuma zilizo tengeneza hii kesi ya Sabaya ila nimeonea kama sio tuhuma nzito kuzidi tuhuma zote ambazo tumeshawahi kuzisikia kwa viongozi mbalimbali ndani ya nchi hii, ila kwa maoni yangu kama kweli serikali imeamua kuwashughulikia viongozi wanaotumia madaraka vibaya basi isingeishia kwa Sabaya tu, ningetarajia kuona viongozi wengi wakiburuzwa mbele ya mahakama...kuanzia skendo za Richmond, Escrow, Meremeta n.k

Ila kinachoonekana ni chuki iliyopo baina ya viongozi wenyewe dhidi ya wengine...huku anayemtuhumu mwingine in fact wala sio msafi sana ukimlinganisha na anayemtuhumu ni aibu.

Lakini zaidi na zaidi katika Chama cha Chadema kama kiongozi wao yeyote, au mwanaharakati wao akituhumiwa au akishtakiwa mahakamani iwe kwa tuhuma za ukweli au za uongo hawataki kujua hilo...wataweka tofauti zao pembeni na kuhakikisha wanazunguka kila kona kumtetea mtu wao.

Ila kwa CCM naona kama ni tofauti kidogo, namini Sabaya angekuwa ni mtu wa Chadema, harakati zingefanyika za kugeuza maneno hata kwa gharama yeyote ili kuaminisha Dunia ya kwamba Sabaya anaonewa... ila huku pengine ni tofauti kabisa, kama ulikuwa ndani ya CCM na ukapotoka katika kutekeleza majukumu ya uongozi na yakatolewa maelekezo ya chuki dhidi yako na kiongozi fulani mwenye chuki dhidi yako, basi utaachwa kama mkiwa ushambuliwe na mbwa mwitu wenye hasira kali juu yako na juu ya chama chako.

Binafsi sipingani na hatua ya serikali kuwawajibisha viongozi wanaotumia madaraka vibaya ila bado sijashawishika na hatua hii kwa sababu naona ina hila ndani yake...na kama ni kweli Serikali inadhamira ya dhati kabisa basi Jamhuri ifunguwe kesi kwa viongozi wote wa CCM waliwahi kutuhumiwa kwa kutumia madara vibaya kwa ufisadi na kadhalika...

Na declare ya kwamba mimi siyo mwanachama yeyote wa kisiasa ila natamani nione ule umoja na mshikamano wa CCM wa miaka ya nyuma ukichukua nafasi.

Binafsi CCM naona ndio chama iliyokizi vigezo vya kuitwa chama cha siasa kwa sababu ni chama ambayo haina mwenyewe.
Wewe kichwa panzi kabisa.
Ulitaka yule aliyeibiwa kwa mtutu Tshs 90million auwawe kabisa na Sabaya ndio uamini kuwa Sabaya ni mbaaya!
Na Sabaya alitumw na CCM ipi kufanya unyang'anyi?

Mada hii ni ya kitoto sana na ushabiki wa kijinga kabisa.
 
Pia mahakama ilidhibitisha mbowe anakesi ya kujibu....hapo imekaaje?
Tofautisha, kuwa na Kesi ya kujibu siyo kwamba limethibitika kosa la mtuhumiwa.

Ninyi mliojitwisha mzigo wa kutetea chama (ccm) kama ulivyojinasibisha mjiridhishe na kujipitisha ktk elimu ya kitu unachotaka kukitetea kabla ya kuleta humu kwenye jukwaa.

Na hii Ndiyo inayokufanya uone tofauti ya watetezi wa chadema na ninyi ccm, maana hawa wa cdm nawaona hata wanapoteteana nawaoana wakiwa na rejea za hoja zao.

Sasa wewe hapa unashindwa kuofautisha kitu kidogo hicho unataka ccm wanaojielewa wakuunge mkono, siyo rahisi.
 
Akina Sabaya wako wengi sana.

Mwingine anagombana na akina GSM huko regent!
Mwingine huyu hapa
1647517625325.png
1647516836440.png
1647516877294.png

1647516209485.png
 
Hapo vip!!

Kwa muda mrefu nimekuwa nafuatilia tuhuma zilizo tengeneza hii kesi ya Sabaya ila nimeonea kama sio tuhuma nzito kuzidi tuhuma zote ambazo tumeshawahi kuzisikia kwa viongozi mbalimbali ndani ya nchi hii, ila kwa maoni yangu kama kweli serikali imeamua kuwashughulikia viongozi wanaotumia madaraka vibaya basi isingeishia kwa Sabaya tu, ningetarajia kuona viongozi wengi wakiburuzwa mbele ya mahakama...kuanzia skendo za Richmond, Escrow, Meremeta n.k

Ila kinachoonekana ni chuki iliyopo baina ya viongozi wenyewe dhidi ya wengine...huku anayemtuhumu mwingine in fact wala sio msafi sana ukimlinganisha na anayemtuhumu ni aibu.

Lakini zaidi na zaidi katika Chama cha Chadema kama kiongozi wao yeyote, au mwanaharakati wao akituhumiwa au akishtakiwa mahakamani iwe kwa tuhuma za ukweli au za uongo hawataki kujua hilo...wataweka tofauti zao pembeni na kuhakikisha wanazunguka kila kona kumtetea mtu wao.

Ila kwa CCM naona kama ni tofauti kidogo, namini Sabaya angekuwa ni mtu wa Chadema, harakati zingefanyika za kugeuza maneno hata kwa gharama yeyote ili kuaminisha Dunia ya kwamba Sabaya anaonewa... ila huku pengine ni tofauti kabisa, kama ulikuwa ndani ya CCM na ukapotoka katika kutekeleza majukumu ya uongozi na yakatolewa maelekezo ya chuki dhidi yako na kiongozi fulani mwenye chuki dhidi yako, basi utaachwa kama mkiwa ushambuliwe na mbwa mwitu wenye hasira kali juu yako na juu ya chama chako.

Binafsi sipingani na hatua ya serikali kuwawajibisha viongozi wanaotumia madaraka vibaya ila bado sijashawishika na hatua hii kwa sababu naona ina hila ndani yake...na kama ni kweli Serikali inadhamira ya dhati kabisa basi Jamhuri ifunguwe kesi kwa viongozi wote wa CCM waliwahi kutuhumiwa kwa kutumia madara vibaya kwa ufisadi na kadhalika...

Na declare ya kwamba mimi siyo mwanachama yeyote wa kisiasa ila natamani nione ule umoja na mshikamano wa CCM wa miaka ya nyuma ukichukua nafasi.

Binafsi CCM naona ndio chama iliyokizi vigezo vya kuitwa chama cha siasa kwa sababu ni chama ambayo haina mwenyewe.
Ukitetea uovu unajiweka kwenye nafasi gani wewe mwenyewe?
naamini kwamba kwa anayetetea uovu anayo sababu yake binafsi ikiwemo kwamba ni pamoja na kwamba alikuwa anafaidika yeye mwenyewe binafsi kupitia uovu ambao anajaribu kuutetea
Kwa mtu mwenye imani ya kimungu huwezi mtetea mouvu anayeadhibiwa kwa sababu ya uovu alioufanya na tena na unatetea kwa kutoa sababu ambazo ni hafifu mno kwamba kwa sababu waovu wengine unaowafahamu wewe hawajaadhibiwa basi na yeye huyu asiadhibiwe

acha sabaya avune alichokipanda kwa wakati ule na sasa ni wakati wa yeye kuvuna na wengine nao watavuna kwa wakati wao ila usisahau kwamba hata wezi wanaoiba siyo wote huwa wanakamatwa kwa wakati mmoja ila kila anayekamatwa huwajibika kwa wakati wake

Hivyo nakushauri ukae kimya ama ueleze wewe nini alichosingiziwa kama utapewa nafasi ya kufanya hivyo.
 
Hapo vip!!

Kwa muda mrefu nimekuwa nafuatilia tuhuma zilizo tengeneza hii kesi ya Sabaya ila nimeonea kama sio tuhuma nzito kuzidi tuhuma zote ambazo tumeshawahi kuzisikia kwa viongozi mbalimbali ndani ya nchi hii, ila kwa maoni yangu kama kweli serikali imeamua kuwashughulikia viongozi wanaotumia madaraka vibaya basi isingeishia kwa Sabaya tu, ningetarajia kuona viongozi wengi wakiburuzwa mbele ya mahakama...kuanzia skendo za Richmond, Escrow, Meremeta n.k

Ila kinachoonekana ni chuki iliyopo baina ya viongozi wenyewe dhidi ya wengine...huku anayemtuhumu mwingine in fact wala sio msafi sana ukimlinganisha na anayemtuhumu ni aibu.

Lakini zaidi na zaidi katika Chama cha Chadema kama kiongozi wao yeyote, au mwanaharakati wao akituhumiwa au akishtakiwa mahakamani iwe kwa tuhuma za ukweli au za uongo hawataki kujua hilo...wataweka tofauti zao pembeni na kuhakikisha wanazunguka kila kona kumtetea mtu wao.

Ila kwa CCM naona kama ni tofauti kidogo, namini Sabaya angekuwa ni mtu wa Chadema, harakati zingefanyika za kugeuza maneno hata kwa gharama yeyote ili kuaminisha Dunia ya kwamba Sabaya anaonewa... ila huku pengine ni tofauti kabisa, kama ulikuwa ndani ya CCM na ukapotoka katika kutekeleza majukumu ya uongozi na yakatolewa maelekezo ya chuki dhidi yako na kiongozi fulani mwenye chuki dhidi yako, basi utaachwa kama mkiwa ushambuliwe na mbwa mwitu wenye hasira kali juu yako na juu ya chama chako.

Binafsi sipingani na hatua ya serikali kuwawajibisha viongozi wanaotumia madaraka vibaya ila bado sijashawishika na hatua hii kwa sababu naona ina hila ndani yake...na kama ni kweli Serikali inadhamira ya dhati kabisa basi Jamhuri ifunguwe kesi kwa viongozi wote wa CCM waliwahi kutuhumiwa kwa kutumia madara vibaya kwa ufisadi na kadhalika...

Na declare ya kwamba mimi siyo mwanachama yeyote wa kisiasa ila natamani nione ule umoja na mshikamano wa CCM wa miaka ya nyuma ukichukua nafasi.

Binafsi CCM naona ndio chama iliyokizi vigezo vya kuitwa chama cha siasa kwa sababu ni chama ambayo haina mwenyewe.
We mpuuzi, jambazi wa kunyanganya watu hela kwa bunduki na kubaka unamfananisha na meremeta?

Kichwa maji ww
 
Back
Top Bottom